Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mimi kabisa,
Screenshot_20200401-132441_WhatsApp.jpeg
 
Kuwa tu mkweli..
Kuna masheikh vichaa namna hiyo?
Jibu Ni hakuna

Kuna mmoja Jina langu la ukoo Ni Kama langu, nadhani kuna namna tuna undugu..
Nilikutana naye tu huko masomoni.
Ni mkasfeta yule dada(wakasfeta mtanisamehe)yaani huwa anaona Yesu anko wake.,anaona wengine Kama hamna undugu na Yesu.

Basi Bwana siku tumetoka darasani nikakutana naye nje,wacha aniwakie..sababu Nini?eti nimevaa ushungi kichwani.
Kipindi hicho nilifululiza matambara nywele kichwani sikutaka kuzisukasuka kwa muda huo

Siku nyingine nimekutana naye nikamsalimia akanipita..kisa nimefunga kiremba.
Eti namuudhi,eti nitapata majini.
Nikamwambia muda wote huo Mimi nimekaa nao rum na kuna baadhi ya mitandio niliyokuwa navaa Ni Yao,si ningekuwa nishayapata

Watu wamekuwa brainwashed na hizi dini
Badala wafwate maandiko wao Ni kuendekeza chuki na kufwata mikumbo ya kijinga.
Kufunga kichwa hata Kwenye Biblia ipo,tena agano jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya Dini na maandiko yake kwa manufaa binafsi hii ipo kila upande ata Mashekh wa hivi wapo japo wao wanatumia kwa njia fofauti kidogo na huko kwenu....

Huyo mdada ndio anarudi pale pale kwenye asilolijua ata tafiti hataki kufanya
 
CHAKUSHANGAZA
unambiwa kuanzia mida ya saa tisa usiku mpaka saa kumi na mbili alfajiri ,ni mida ya shetani,ghosts na wachawi ,na mambo mengi sana mabaya hutokea mida hiyo kama vifo ,pia ghosts ndomana kuanzia mida hiyo mbwa,paka,bundi na kuku ,huwa wana piga kelele sana kwasababu wana uwezo mkubwa wa kuona vitu visivyo onekana.. 👉Unambiwa endapo kama sehemu unayo ishi(nyumbani kwako) ikifika usiku ,kuna kuwa na mazingira ya ajabu mfano ..baridi kali,upepo, harufu ambazo hazina chanzo,unasikia sauti zisizo elezeka,pia unaweza ukakuta mapazia yana pepea bila chanzo kama upepo,...jua basi kuna uwezekano mkubwa sana apo ni makazi ya ghosts/mizimu..au pia hiyo sehemu ulio jenga yalikuwa makaburi ya watu.. 👉pia unambiwa siku ambayo unajikuta unakuwa muoga sana haswa wakati wa usiku unapoenda kulala ,basi jua kwamba siku hiyo ni rahisi sana kutembelewa na ghosts/mizimu kwasababu unakuwa una wapa uhuru wakukutawala.... ✨✨✨Usiku mwema kwa wote✨
Bora nimeiona mchana
 
Kuwa tu mkweli..
Kuna masheikh vichaa namna hiyo?
Jibu Ni hakuna

Kuna mmoja Jina langu la ukoo Ni Kama langu, nadhani kuna namna tuna undugu..
Nilikutana naye tu huko masomoni.
Ni mkasfeta yule dada(wakasfeta mtanisamehe)yaani huwa anaona Yesu anko wake.,anaona wengine Kama hamna undugu na Yesu.

Basi Bwana siku tumetoka darasani nikakutana naye nje,wacha aniwakie..sababu Nini?eti nimevaa ushungi kichwani.
Kipindi hicho nilifululiza matambara nywele kichwani sikutaka kuzisukasuka kwa muda huo

Siku nyingine nimekutana naye nikamsalimia akanipita..kisa nimefunga kiremba.
Eti namuudhi,eti nitapata majini.
Nikamwambia muda wote huo Mimi nimekaa nao rum na kuna baadhi ya mitandio niliyokuwa navaa Ni Yao,si ningekuwa nishayapata

Watu wamekuwa brainwashed na hizi dini
Badala wafwate maandiko wao Ni kuendekeza chuki na kufwata mikumbo ya kijinga.
Kufunga kichwa hata Kwenye Biblia ipo,tena agano jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamini kumbe Unaweza kuvutiwa na mtu kwa Maandishi tuu Aisee
Saint Anne [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Matumizi ya Dini na maandiko yake kwa manufaa binafsi hii ipo kila upande ata Mashekh wa hivi wapo japo wao wanatumia kwa njia fofauti kidogo na huko kwenu....

Huyo mdada ndio anarudi pale pale kwenye asilolijua ata tafiti hataki kufanya
Yaani aliniacha hoi Sana
Na Mimi kichwa changu kilivyo kibovu Wala sikuacha kuvaa..huwa siyumbishwi hovyo kwenye mambo yangu.
Tunaosali nao nilikuwa nakutana nao,muda mwingine nimevaa ushungi..tena wananisalimia salamu ya kanisani,fresh tu na maisha yanaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom