capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Naona wameamua kutumia akili zao sasa!Kuanzia leo bajaji na bodaboda zinaruhusiwa kuendesha shughuli zake mpaka katikati ya jiji kwa ajili kupunguza gape la changamoto za usafiri----MakondaView attachment 1405841View attachment 1405842
Sent using Jamii Forums mobile app