Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wa zamani wa klabu ya Olympic Marseille ya Ufaransa Pop Diof, mwenye umri wa miaka 68, amefariki Dunia kwa corona.
Mwenyezi Mungu amrehemu
FB_IMG_1585730325687.jpeg
 
Yaani aliniacha hoi Sana
Na Mimi kichwa changu kilivyo kibovu Wala sikuacha kuvaa..huwa siyumbishwi hovyo kwenye mambo yangu.
Tunaosali nao nilikuwa nakutana nao,muda mwingine nimevaa ushungi..tena wananisalimia salamu ya kanisani,fresh tu na maisha yanaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Alafu huu uandishi kuna mtu ushamvutia kazi kwako sasa
 
Back
Top Bottom