Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ewalaa! Ndio hiyo hiyo sasa....

"Sijajua nani Kibaki na nani ni Leila Ondinga
Yupi anataka kubaki wakati raia wanampinga...." [emoji445][emoji445][emoji444]

Nilikua najiuliza umeweza vipi kuijua hiphop sasa nimepata jibu kwamba watu waliokuzuguka(kakaz) ndio walikuinfluence
Nimebahatika kuwa na kaka.
Mmoja alikuwa anapenda zile laini laini za Jana na za nje za kina 50 cent,
Mwingine akija Ni hayo mahip hop ya bongo mwanzo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wakristo tu ata huku upande wa pili kuna watu wana mitazamo hasi kabisa juu ya watu wa imani nyingine....

Lakini tunashauriwaga tusiongelee vitu ambavyo hatujafanyia tafiti au hatuna elimu navyo maana hukawii kutoa boko...

Hiyo stori yako ya Qaswida utapata majini umenikumbusha kuna siku jamaa yangu alitembelewa mama yake hapa mjini, sasa wakati wanapiga stories za huko Mwanza kwao yule mama alimuhadisia jamaa habari za msiba wa jirani yao.

Mama alisema hakuenda msibani kwasababu huyo jirani alikua ni Muislamu na anavyojua yeye waislamu wakifariki ile nyama ya marehemu ndio huwa wanalishwa watu walioudhulia kwenye msiba [emoji23]
Mimi nilishatishwa na stori kibao
Nikaambiwa unajua wanachinjaje kuku?[emoji23]
Mara ooh we sogea Sana msikitini.

Nikiwa chuo mwaka wa 1 nilibahatika kupangwa na rummates wote waislam..sikukuu ya eid nikatinga na Mimi mtandio na baibui langu nililisagura mtumbani huko..nikaenda msikitini
Wala sikuona majini yoyote

Huku upande wetu wajinga Ni wengi kuliko huko.
Sidhani Kama huko kwenu Kuna vichaa Kama Huyo muomba nauli ya kwenda kupambana na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishatishwa na stori kibao
Nikaambiwa unajua wanachinjaje kuku?[emoji23]
Mara ooh we sogea Sana msikitini.

Nikiwa chuo mwaka wa 1 nilibahatika kupangwa na rummates wote waislam..sikukuu ya eid nikatinga na Mimi mtandio na baibui langu nililisagura mtumbani huko..nikaenda msikitini
Wala sikuona majini yoyote

Huku upande wetu wajinga Ni wengi kuliko huko.
Sidhani Kama huko kwenu Kuna vichaa Kama Huyo muomba nauli ya kwenda kupambana na corona

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa tu mkweli..
Kuna masheikh vichaa namna hiyo?
Jibu Ni hakuna

Kuna mmoja Jina lake la ukoo Ni Kama langu, nadhani kuna namna tuna undugu..
Nilikutana naye tu huko masomoni.
Ni mkasfeta yule dada(wakasfeta mtanisamehe)yaani huwa anaona Yesu anko wake.,anaona wengine Kama hamna undugu na Yesu.

Basi Bwana siku tumetoka darasani nikakutana naye nje,wacha aniwakie..sababu Nini?eti nimevaa ushungi kichwani.
Kipindi hicho nilifululiza matambara nywele kichwani sikutaka kuzisukasuka kwa muda huo

Siku nyingine nimekutana naye nikamsalimia akanipita..kisa nimefunga kiremba.
Eti namuudhi,eti nitapata majini.
Nikamwambia muda wote huo Mimi nimekaa nao rum na kuna baadhi ya mitandio niliyokuwa navaa Ni Yao,si ningekuwa nishayapata

Watu wamekuwa brainwashed na hizi dini
Badala wafwate maandiko wao Ni kuendekeza chuki na kufwata mikumbo ya kijinga.
Kufunga kichwa hata Kwenye Biblia ipo,tena agano jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom