Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tano Bora ya wasanii wa muziki matajiri zaidi barani Afrika.
1. Akon.
Akon ni raia wa Marekani mwenye asili ya Senegal.
Akon jina lake halisi ni Aliaume Damala Badara Thiam.
Mkali huyu anamiliki Ukwasi wenye thamani dola milioni 80, ambazo ni sawa na shilingi za Tanzania bilioni 184.8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…