Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Sawa sawa mzee mwenzanguAisee!
Sio mbaya sana maana Anko alitoa angalizo kama hayupo huku basi usimlete, ila kama tayari yupo pia sio mbaya bro nakuaminia huwezi kumshika kipofu mkono wakati wa kula
Niliwai fika hapoWe umezidiii...unakariri mpaka palivyo
😂😂Nmeona bro[emoji23]
😂😂😂 nimecheka sanaSio fair kabisa ni sawa nakupa jiwe ya mpira rangi nakunirushia
Wow! 80s"Sogea karibu nikueleze,
Usije shangaa imekuaje Sofi" --Nutta Jazz 1980 Dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Pass ya ugoko alafu ya moto 😁Hizi pasi zingine za ugoko bro[emoji23][emoji23]
Dah 😀😀Pass ya ugoko alafu ya moto 😁
Na weweAhadi ni deni
Nafasi nipeni
Kike kiumeni
Tukutane bungeni
Poa bro nikuja kwaajili ya hicho kwenye picha
YP alishafariki bro, ila huyo Y dash yupo tu anaendelea na harakati zake za kawaida
Mungu atulinde....
Ndio kilichotokea kwa bro Mkoka[emoji23][emoji23],unaanzaje kuituliza sasaPass ya ugoko alafu ya moto [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yoyo weeeeeeee khaaaah wallah leo nakuwa chizi mieeeeeeh uwuiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app