Mbambadu
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 253
- 458
Nina maswali hapa bro kama utaweza kunisaidia
Niambie ww unaitaje[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
[emoji38][emoji38]Weweeee...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Twende studio za wasafi tukatoe single,[emoji23][emoji23]Ahadi ni deni
Nafasi nipeni
Kike kiumeni
Tukutane bungeni
Shwaini wewe KD akee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa poa sana pia itakua habari njema kwa mashabiki wa Samatta maana atakua kanusurika kushuka daraja
Hapana aseeeeeeeh mbavu znauma mnooooh, kwa leo inatosha uwiiiiii
Anaachia mipira huyu.Bradha vipi nikupigie pass ya mwisho au bado upo kati kati ya msitu wa maadui?
[emoji2][emoji2][emoji2]