Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Yees....real men eat flesh not bones [emoji125][emoji125][emoji125]I love (thick) women. Siwezi kuficha [emoji16][emoji16][emoji16]
Vipi? Notifications hakuna? Picha hazionekani? Welcome to my world.
Muone...Yees....real men eat flesh not bones [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
La notification nimeshalizoea ila hili la picha walah halizoeleki. Sijambo The Don habari ya weweVipi? Notifications hakuna? Picha hazionekani? Welcome to my world.
Hujambo lakini?
Itabidi udownload tapatalk halafu unalog in na kuiongeza JF humo kama group lako. Notifications utapata na picha zitaonekana. Mi ndiyo naponea huko kwa sasa.La notification nimeshalizoea ila hili la picha walah halizoeleki. Sijambo The Don habari ya wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hivi ndivyo mnajinyima fursa na kutunyima wengine, unasemaje utanyimwa na hujaomba?Muone...
Ila nikikuomba hiyo flesh utaruka mamilioni ya maili na kunibloku juu kama hunijui. Ila kwa kuwa ni kimbaumbau sawa tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Weweee. Tunapimaga upepo kwanza. Kunyimwa kunauma wewe ...halafu unaona wenzio wanapewa. Unabaki kujilaumu mi nilikosea wapi au mi nina kasoro gani? Waweza pata depression bure.....Hahaha hivi ndivyo mnajinyima fursa na kutunyima wengine, unasemaje utanyimwa na hujaomba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huyu mwamba ndiyo aliimba Lean on Me? Muvi ya Lean on Me naitafuta sana ili niiongezee kwenye collection zangu. Apumzike salama. Miaka 82 si haba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwaheri Bill Withers
Nilsikiliza kwa mara ya kwanza Lean on me - mwaka 1977
Utakumbukwa sana View attachment 1408108
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nitajaribu kufanya hivyo kama simu itaruhusu, jitahidi upate wa kugaragara nae humo ndaniItabidi udownload tapatalk halafu unalog in na kuiongeza JF humo kama group lako. Notifications utapata na picha zitaonekana. Mi ndiyo naponea huko kwa sasa.
Habari yangu njema. Nipo tu home nagaragara kwenye karantini....
Wewe chizi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh! Au alifata simu aje kupiga picha akakuta watu wameinywa
[emoji23][emoji23]
Weweeee. Nipate Korona?Nitajaribu kufanya hivyo kama simu itaruhusu, jitahidi upate wa kugaragara nae humo ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] teh, naonaga.
Imeisha iyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaa hebu huko
Hahaha wanaume wote wangekuwa wanahofia kunyimwa hata ndoa zisingekuwepo, unaniangusha The DonWeweee. Tunapimaga upepo kwanza. Kunyimwa kunauma wewe ...halafu unaona wenzio wanapewa. Unabaki kujilaumu mi nilikosea wapi au mi nina kasoro gani? Waweza pata depression bure.....
Kweli wewe ni tomaso[emoji23][emoji23]