Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23]
Mimi nikinyimwa inaweza kunichukua hata mwaka mzima nikikusanya nguvu tena. Na uzee huu basi hata bashasha ya kuomba omba sina tena [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha wanaume wote wangekuwa wanahofia kunyimwa hata ndoa zisingekuwepo, unaniangusha The Don
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenenepa eeeh!?
Uyole hia ai kamu...
Jiandae kwa ugeni wa heshima sana utakaotetemesha kijiji kizima [emoji16][emoji16][emoji16]
Baaasi itabidi tujiongeze tukuombe sie[emoji16][emoji16]Mimi nikinyimwa inaweza kunichukua hata mwaka mzima nikikusanya nguvu tena. Na uzee huu basi hata bashasha ya kuomba omba sina tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Shida yote ya nini?
Kuna nini Ileje mpaka gari itetemeke? Milima ama? Nabadili gia nakushukia na helikopita nne za kukodi. Hapo vipi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naenda ileje,gari yako itapiga gia mwishowe itetemeke
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwembamba kuliko Mimi nilivyo Sasa.Saint Anne kanenepeshwa na juice ya maparachichi jamani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1408118
Karibu tena
Milima ya maana,tukuyu wakasomeKuna nini Ileje mpaka gari itetemeke? Milima ama? Nabadili gia nakushukia na helikopita nne za kukodi. Hapo vipi?
[emoji16][emoji16][emoji16] Nyie hawa wenye aibu hawa? Sidhani....Mnaogopa kudharauliwa...Ila wenzenu wazungu kawaida tu...Laivu kabisa mtoto anakuomba akutoe out....Nyie mhhh !!!
Helicopter na mvua zile?Kuna nini Ileje mpaka gari itetemeke? Milima ama? Nabadili gia nakushukia na helikopita nne za kukodi. Hapo vipi?
Yaani huwezi kujisifia vizuri tu mpaka ujiharibie. Unaniuzigi yaani mpaka basi.Huyu mwembamba kuliko Mimi nilivyo Sasa.
Nimemzidi Sana tumbo..langu Kama pipa tumbo ya professa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeanza lini kunikosea adabu etiWewe utaosha glass tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hadi June???Shida yote ya nini?
Hebu niwache mi nigaragare mwenyewe kwa raha zangu...Sasa wanasema pengine mpaka Juni ndiyo karantini itaweza kulegezwa [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi umeanza lini kunikosea adabu eti
Kwani mvua zinanyesha 24/7?
Mmmmmmh Aisee bro