Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1583307363725.jpeg
 
Kumbe huyu mwamba ndiyo aliimba Lean on Me? Muvi ya Lean on Me naitafuta sana ili niiongezee kwenye collection zangu. Apumzike salama. Miaka 82 si haba [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Haswa na Ain’t no sunshine ilivuma sana na mpaka leo na kesho ni moja ya nyimbo zake nzuri, ila Michael Bolton ali copy Lean on Me
Daa lakini amekula mda wake
Hiyo movie Morgan Freeman yumo
Na huyu mzee namkubali movie zake bro
Kama Shawshank redemption ni nzuri,
Na The Bucket List hii unaweza kuirudia bila kuchoka

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Lean on Me. Morgan Freeman as Joe Clark - the no nonsense principal who was brought to save the troubled Eastside High from being overtaken by the state. Principal Clark faced a lot of opposition from the drug dealers who controlled the school, a corrupt mayor, some parents and other forces but he eventually prevailed.

#FreeMrClark
#WeWantMrClark.
#MrClarkislikeaparenttous...
 
Back
Top Bottom