moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Vitisho, vitisho.
Njaa na vita vyatosha bhana
Njaa na vita vyatosha bhana
Bro kwema
I've already see you there😂😂😂Link tena? Kama uzi wake upo humu me sijui.
Me nachukua huko WhatsApp kuna rafiki angu mmoja hizi memes za viatu zimemtoa akili kabisa....akipost nachukua zikiwa nyingi naleta hapa
Niliubahatisha kwenye new postsI've already see you there😂😂😂
Salama mkokaa habari ya weweKhantwe umeamkaje
Khaaaaaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti nn lol uwiiiiiiiiiiih madame plz kuwa na huruma na mbavu zsngu,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiiiih lol mweeeehView attachment 1408274
Ajira naawachia wanasisiemu [emoji125]
Aite "coca" inatoshaaaaaaah wala asipate tabu ktk hiliME huwa anawaita Bro, KE anawaita Sister....... Sasa naona anataka ajue jinsi ya kukuita ikiwa ukawa unakuja hapa uzini mara kwa mara
Safi khantwe uwe na siku njemaSalama mkokaa habari ya wewe
ahsante na wewe piaSafi khantwe iwe na siku njema
Safi kaka ila sipo chuga now kuna sehemu nipo nangoja pasakaKwema, habari za hapo chuga bro
Sema nipo hapa kwenu temeke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi kaka ila sipo chuga now kuna sehemu nipo nangoja pasaka
Hujambo