Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwahiyo hilo ndiyo jiwe linalokuja kutukandamiza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Haka ni kasayari ketu kamanda kakiwa mkuku kulizunguka jua....

20200404_075238.jpg
 
Msikubali nini?

Waafrika nasi tumezidi kulalamika. Kama hatutaki si tutengeneze madawa yetu? Bara zima kila kitu tunategemea wazungu....

Hili suala liko hivi kisayansi: Vaccine inapofanyiwa majaribio, inabidi ifanyiwe katika population mbalimbali katika mazingira tofauti ili kuona kama kweli inafanya kazi kila mahali. Hutaki uingie gharama ya mabilioni kutengeneza chanjo/dawa ambayo inafanya kazi nusu nusu. Walichosema hao watengeneza chanjo hii ni kwamba wanataka kufanya parallel trials. Wameanzia kule Australia, Marekani, Ufaransa na wanataka pia nchi moja au mbili Afrika.

Afrika, kama inavyojulikana, hakuna huduma za kiafya za kueleweka. Hata kinga za kawaida tu ni shida. Kama chanjo hii itaweza kufanya kazi vizuri na kuzuia maambukizi kabisa hata katika mazingira haya, basi huu utakuwa ni uthibitisho tosha kwamba ni chanjo nzuri.

Sasa sisi Waafrika kila kitu tunafikiri ni ubaguzi na tunaongea sana na kujifanya tunajua kila kitu. Wakiacha tena halafu mambo yaje yafumuke huku na chanjo iwe haifanyi kazi sawasawa katika mazingira yetu kwa sababu tulikataa wakati wa testing napo yatakuwa maneno. Wazungu hawajali Waafrika hata tukifa na walitengeneza chanjo kwa ajili yao pekee.

Kama hatutaki tafiti za hawa jamaa basi tuamke tuanze kufanya za kwetu. Kongea tu na kulalamika kuwa tunabaguliwa haitatusaidia kwa lolote.
Siku zote nasemaga sisi waafrika tumeshakuwa kama watoto wa kambo kwa hao wenzetu watu weupe yani ata tukibebwa tutalalamika tunalemazwa

Swala la kubaguliwa limetukaa ndani ya Ubongo, ndani ya Moyo na ndani ya Damu zetu sasa imefikia hatua tunajibagua wenyewe kabla hatujabaguliwa yaani kuna mambo madogo madogo sana ila tunayakuza kwa dhana ya kubaguliwa
 
Share please... TUSIKUBALI
ITALY ---14681 Deaths
China ---3326 Deaths
Spain ---11198 Deaths
USA --- 7403 Deaths
AFRICA(Whole continent) -- 164
and the world wants to Start vaccination in Africa....
WHY ?[emoji848]

SAY NO TO THIS THING

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini tusikubali ndugu? Wengine hatujui chochote, ungetupa sababu za kuto kukubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shemeji kwema?
Hii kitu ni kama unakiona live live ukiwa kwa gari? Hizi baraka zimekuangukia huku unaona kabisa kwa macho? Namaanisha hili tukio kuonekana hapa sosi ni wewe mwenyewe?
Kweli Mungu ana kazi nyingi za kufanya ila ikifika za hawa mama anaacha shughuli zote anakonsetreti kwenye urembaji wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwema shemeji....

Ndiyo. Watu wako majumbani. Jioni wanatoka kunyoosha miguu. Ndiyo nikamuona. Basi moyo huo phaaa !!!

Ana watoto wawili. Hana mume. Nimesikia mumewe yupo jela. Kuna haja ya kuanza kujitolea kutoa msaada [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Msikubali nini?

Waafrika nasi tumezidi kulalamika. Kama hatutaki si tutengeneze madawa yetu? Bara zima kila kitu tunategemea wazungu....

Hili suala liko hivi kisayansi: Vaccine inapofanyiwa majaribio, inabidi ifanyiwe katika population mbalimbali katika mazingira tofauti ili kuona kama kweli inafanya kazi kila mahali. Hutaki uingie gharama ya mabilioni kutengeneza chanjo/dawa ambayo inafanya kazi nusu nusu. Walichosema hao watengeneza chanjo hii ni kwamba wanataka kufanya parallel trials. Wameanzia kule Australia, Marekani, Ufaransa na wanataka pia nchi moja au mbili Afrika.

Afrika, kama inavyojulikana, hakuna huduma za kiafya za kueleweka. Hata kinga za kawaida tu ni shida. Kama chanjo hii itaweza kufanya kazi vizuri na kuzuia maambukizi kabisa hata katika mazingira haya, basi huu utakuwa ni uthibitisho tosha kwamba ni chanjo nzuri.

Sasa sisi Waafrika kila kitu tunafikiri ni ubaguzi na tunaongea sana na kujifanya tunajua kila kitu. Wakiacha tena halafu mambo yaje yafumuke huku na chanjo iwe haifanyi kazi sawasawa katika mazingira yetu kwa sababu tulikataa wakati wa testing napo yatakuwa maneno. Wazungu hawajali Waafrika hata tukifa na walitengeneza chanjo kwa ajili yao pekee.

Kama hatutaki tafiti za hawa jamaa basi tuamke tuanze kufanya za kwetu. Kongea tu na kulalamika kuwa tunabaguliwa haitatusaidia kwa lolote.
Kisa tu kapinga Etoo na mjinga mwenzake nani sijui basi Waafrika wote tunawaunga mkono. Bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nasemaga sisi waafrika tumeshakuwa kama watoto wa kambo kwa hao wenzetu watu weupe yani ata tukibebwa tutalalamika tunalemazwa

Swala la kubaguliwa limetukaa ndani ya Ubongo, ndani ya Moyo na ndani ya Damu zetu sasa imefikia hatua tunajibagua wenyewe kabla hatujabaguliwa yaani kuna mambo madogo madogo sana ila tunayakuza kwa dhana ya kubaguliwa
Karibu nitakutoa kwenye uandaeitini ukiendelea na hizi fikra zako komavu. Sina cha kuongezea bro kwa sababu umemaliza kila kitu. Kama hatutaki haya mambo basi tugangamare tuwe na ya kwetu. Mpaka inakera yaani !!!
 
Huku kwema shemeji....

Ndiyo. Watu wako majumbani. Jioni wanatoka kunyoosha miguu. Ndiyo nikamuona. Basi moyo huo phaaa !!!

Ana watoto wawili. Hana mume. Nimesikia mumewe yupo jela. Kuna haja ya kuanza kujitolea kutoa msaada [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Usiulize wala kuomba ushauri.
Hayo mengine sijui ana watoto wawili na mme yupo jela nayo jifanye huyajui na wala hutaki kuyasikia...
Tunakufa mara moja shemeji... Kula tu.

Heeee!! Mwemwemweee amalikaga kumyangu hiiiiiii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa tu kapinga Etoo na mjinga mwenzake nani sijui basi Waafrika wote tunawaunga mkono. Bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mwenzake Didier Drogba. Hao madaktari wametoa maelezo ya kisayansi na ya kueleweka sana kuhusu haja ya kufanyia majaribio hiyo chanjo Afrika pia; na kwamba majaribio tayari yameshaanza Australia, Ufaransa na Marekani. Sasa eti sisi hatutaki na wakati huo huo tunawategemea hao hao ndiyo watuletee dawa. Mkanganyiko!!!
 
Usiulize wala kuomba ushauri.
Hayo mengine sijui ana watoto wawili na mme yupo jela nayo jifanye huyajui na wala hutaki kuyasikia...
Tunakufa mara moja shemeji... Kula tu.

Heeee!! Mwemwemweee amalikaga kumyangu hiiiiiii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hufai kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mlango uko wazi mpendwa. Nitakuwa mwalimu mpole na mwadilifu sana kwako. Na utakuwa mwanafunzi wangu wa pekee [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

#TheDonHimuselfu
Nimekumbuka mbali... Darasa la Pyaar na kijana mdogo Yegomasika sijui mwisho wao ulikuwaje?!!
Somo likawe jepesi kwenu maana msukuma huwa ni mnyenyekevu sana kwa binti mweupe na mwenye utipwa tipwa mchanga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom