Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku zote nasemaga sisi waafrika tumeshakuwa kama watoto wa kambo kwa hao wenzetu watu weupe yani ata tukibebwa tutalalamika tunalemazwa

Swala la kubaguliwa limetukaa ndani ya Ubongo, ndani ya Moyo na ndani ya Damu zetu sasa imefikia hatua tunajibagua wenyewe kabla hatujabaguliwa yaani kuna mambo madogo madogo sana ila tunayakuza kwa dhana ya kubaguliwa
Zunguka kwenye nyuzi nyingi humu Jf,jitahidi kusoma komenti nyingi kadiri uwezavyo utagundua kitu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekumbuka mbali... Darasa la Pyaar na kijana mdogo Yegomasika sijui mwisho wao ulikuwaje?!!
Somo likawe jepesi kwenu maana msukuma huwa ni mnyenyekevu sana kwa binti mweupe na mwenye utipwa tipwa mchanga...

Sent using Jamii Forums mobile app
Lile darasa nadhani Yego alikimbia. Na tangu siku hiyo Yego huwa simchukulii siriazi kwa lo lote wala cho chote...
 
Tunapinga kwenye maandishi na matamshi vitendo hatuwezi kukataa msaada wao wa pesa tukubali chanjo tuikatae inawezekanaje?
Waafrika tumekuwa hatupendi kujisomea hata vibandiko vidogo vidogo tu, tunasubiri asome mmoja ndio atusimulie,hapo ndipo upotoshwaji unapo anzia. Imefikia hatua hata kuziwaza shida zetu na namna ya kuzitatua tunaona uvivu. Tumebaki na midomo ya lawama hata kwa mambo ya kutatuliwa kifamilia inaangushiwa serikali.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom