Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.27925156422701158E18.jpg
 
Angalau wangeleta huu ufafanuzi tungewaelewa.
Kikubwa aliyepokea hiyo taarifa alipaswa kufafanua pia
Nimekuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa pwani bado unarudia kosa lile lile la uvivu wa kujisomea.... "kikubwa aliyepokea taarifa alipaswa kufafanua pia"....

Kwanini tuna shindwa kujiridhisha kwa kila tukisikiacho kwa masikio hasa kwa magonjwa serious kama haya(?) kwa kuingia mitandaoni na kufukunyua taarifa za huku na huko(kwa wenzetu) kwa lengo la kupata mlinganisho?
Mimi nina ugonjwa mmoja unanisumbua sana, hapa kwenye uzi hata nisionekane wiki,nikifungua nitaanzia pale nilipo ishia hadi uzi ulipo fika. Kuna posts za SYB, zako, za Numbisa na wengine wanao andika magazeti siruki hata moja. Taarifa nyingi mnazileta nyie wenyewe ni eidha kwa kuzichukulia uzito au kwa kuzifikisha tu hapa.
Mwanzo SYB ameongelea sana huu ugonjwa japo kwa utani, ila taharuki ya Hawachi (na mwingine nimemsahau) ilimfanya aanze kukusanya madokezo na pamoja na takwimu za wagonjwa na kuzimwaga hapa.
Nawaombeni muendelee kukusanya habari mbalimbali na kuzimwaga hapa, wachakataji tupo japo tumezeeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi naichukia sana Dunia ya lawama, Jamii zilizoendelea wameshaacha kabisa mambo ya lawama badala yake wamejikita kwenye uwajibikaji
Ukitaka kufa maskini, anzia ngazi ya familia, anza kujilalamisha kuwa hayupo anae kujali, umetengwa, hakuna anae kusikiliza na lawama zingine za hovyo hovyo sijui Ccm imefanya nini sijui Jiwe na blah blah... Nasema haki ya Mungu mama yangu afufuke... Umaskini ndio itakuwa harufu ya mwili wako hadi kifo kikuchukue...
Mdogo wangu vita ya afya na mafanikio ya kimaisha ni hitaji binafsi, ni kupambana popote palipo na nafasi, serikali utakutana nayo kwenye kulipa kodi, tena kwa mbinde.

100% 100% [emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]

Unakuta mtu analalamika utafikiri kuna mwingine alizaliwa hapa duniani ili aje kumpambania. Na walalamikaji wengi ni hao hao. Hata akipewa msaada hapigi hatua anarudi tena kule kule kwenye kulalamika eti hasaidiwi. Jizazi !!!

Wewe mlalamikiwa mpaka unajinyima ili umsaidie mlalamikaji unampa kijimtaji tena cha wazo lake mwenyewe holaaa hata mwaka hauishi keshakomba kila kitu mnarudi tena kwenye sikwea wani...Inakera !!!
 
Dada wa watu anapambana asikuliwe wewe unasema questionnaire? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ila shemeji tuwe wakweli, zunguka vijiwe vyote hata vya mtaani, ukirudi hapa amani lazima ipatikane... Sijui kwanini kwa upande wangu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom