Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mzee wa pwani bado unarudia kosa lile lile la uvivu wa kujisomea.... "kikubwa aliyepokea taarifa alipaswa kufafanua pia"....Angalau wangeleta huu ufafanuzi tungewaelewa.
Kikubwa aliyepokea hiyo taarifa alipaswa kufafanua pia
Nimekuelewa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kufa maskini, anzia ngazi ya familia, anza kujilalamisha kuwa hayupo anae kujali, umetengwa, hakuna anae kusikiliza na lawama zingine za hovyo hovyo sijui Ccm imefanya nini sijui Jiwe na blah blah... Nasema haki ya Mungu mama yangu afufuke... Umaskini ndio itakuwa harufu ya mwili wako hadi kifo kikuchukue...Binafsi naichukia sana Dunia ya lawama, Jamii zilizoendelea wameshaacha kabisa mambo ya lawama badala yake wamejikita kwenye uwajibikaji
100% 100% [emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]Ukitaka kufa maskini, anzia ngazi ya familia, anza kujilalamisha kuwa hayupo anae kujali, umetengwa, hakuna anae kusikiliza na lawama zingine za hovyo hovyo sijui Ccm imefanya nini sijui Jiwe na blah blah... Nasema haki ya Mungu mama yangu afufuke... Umaskini ndio itakuwa harufu ya mwili wako hadi kifo kikuchukue...
Mdogo wangu vita ya afya na mafanikio ya kimaisha ni hitaji binafsi, ni kupambana popote palipo na nafasi, serikali utakutana nayo kwenye kulipa kodi, tena kwa mbinde.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtu amehonga ada za watoto maendeleo yatatoka wapi? Hela ya laana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dada wa watu anapambana asikuliwe wewe unasema questionnaire? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mtu amehonga ada za watoto maendeleo yatatoka wapi? Hela ya laana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Dada wa watu anapambana asikuliwe wewe unasema questionnaire? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]Yah! I know, your defensive line is too weak to him (Rob)
[emoji3][emoji3][emoji3]
Dry siziwezi kwakweliSema nimekushtukia unapenda sana zile sweet
Kwema mrembo??[emoji2955]View attachment 1408496
Poa sana kaka ake.Dadake, za hapo home
πππ