Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushakukua sasa mdogo angu kunywa robertson sasa
 
Habari, kama kuna mtu anayo gari center tani tatu na nusu na bado iko poa kabisaa anione nimpange mwezi wa 6 tukafanye kazi mahali ,ila inatakiwa gali imara maana kuna kilima ,kuna jamaaa alikwenda na center mwaka juzi kuanzia mwezi wa 7-10 walipiga milioni zaid ya milioni 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga wewe [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua ankoo hapo umetoka mtupu . Mnyakyusa hawezi kuelewa kinyiha
Heheheh kelele kwa wandali..nagonga kinyaki,kindali,kinyiha na kisafwa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi maisha ya kusoma unayajua vizuri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiishiwa hela njaa inauma hatari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijasoma stella nimeishia la 4c

Kwahiyo shule ndo mnakunywa soda mshibe?
Mlikuwa hamuujui uji?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…