Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Duuh! Sikujua hili kablaKuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..
Matokeo yake ndiyo hayo Sasa..akipata vijihela unaanza kumjua rangi yake halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu wiki ya 2 hii bila mvua
Wewe KD mguu tu unamlainisha mremboDuuh! Sikujua hili kabla
Hii inakuhusu 😀Na huu umasikini wangu kweli naweza pata mtu kwa kuonewa huruma?
Huyu kigwangala alitaka ng'ombe amezwe?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana ana bustani kubwa sana, kongole zake.
Yaani nianze kula mikate?
Aisee[emoji2]
Huyo dogo macho menyewe ya kuonea hilo tundu la sindano yako wapi? [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]Hii inakuhusu [emoji3]
🤣🤣🤣🤣Huyo dogo macho menyewe ya kuonea hilo tundu la sindano yako wapi? [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Kuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..
Matokeo yake ndiyo hayo Sasa..akipata vijihela unaanza kumjua rangi yake halisi.
Hii inakuhusu [emoji3]
....ende vaisi vesa kiaina...Kuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..
Matokeo yake ndiyo hayo Sasa..akipata vijihela unaanza kumjua rangi yake halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi unachosema ni kwamba unataka mwanaume tajiri. Fulustopu....Hawa masikini sio watu wazuri kabisa
Kwanza Ni viburi..Mimi ndiyo maana nasemaga usimpende mwanaume kwa kumuonea huruma kisa Ni masikini
Sent using Jamii Forums mobile app