Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tunashukuru Mungu uzima upo, tunapambana na hofu ya Corona. Habari za wewe?Salaam bi NaddySL, mzima
Fwala Sana huyu jamaa[emoji85]Huyu Waziri anajua zaidi thamani ya wanyamapori kuliko thamani ya binadamu
Bado mdogo hajakua. Anapenda sana kiki ndo maana 24/7 yumo mitandaoni
Yaani hiyo mikate Ni heri pawe tupu tu aiseeKinachomata hapo ni ndoa, mengine yote ni mbwembwe tu.
Ni heri msile chochote lakini mfunge ndoa kuliko kujichewesha huku mkifanya zinaa mkitafuta michango kwa miaka miwili
Hulagi mikate? Tatizo ni nini?
Mikate iliwe Kama keki siku ya harusi?Hulagi mikate? Tatizo ni nini?
Yaani kabisa anamponda mwenzie kwa sababu ameua nyoka aliyetaka kumeza ng'ombe wake??Bado mdogo hajakua. Anapenda sana kiki ndo maana 24/7 yumo mitandaoni
Si kwamba nataka tajiri au masikini.Kimsingi unachosema ni kwamba unataka mwanaume tajiri. Fulustopu....
Ila hata matajiri nao wana mambo yao usije ukaingia kichwa kichwa eti unakwenda kula raha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....ende vaisi vesa kiaina...
Akija kupata hela na wewe usirudi kujigongesha kiaina eti ooooh unajua wakati ule uliponitaka niliona kama hukuwa siriazi kivile ndo maana nikakulizia buyu...ila sasa umekuwa mature sana na unajua unachokifanya...ai emu availabo...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Nimedandia treni kwa mbele ezi yujo na hata sijui mnaongelea nini [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wanaume masikini huwa wanapenda kuonewa huruma Sana..acha mtu akupende mwenyewe Wala SI kwa kukuonea huruma.Wanawake wote mnatuchukia siye masikini kwa kisingizio eti tukifanikiwa tunawapuuza, dhana hiyo haina ukweli
🤔Wanaume masikini huwa wanapenda kuonewa huruma Sana..acha mtu akupende mwenyewe Wala SI kwa kukuonea huruma.
Mwingine ukijitoa ukampenda Sana Basi anakuona rofa
Sent using Jamii Forums mobile app