Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Yes exactly, na hawa wanaume wengi ndivyo wanavyotaka hivyo tuwapende kwa kuwaonea huruma eti kwa sababu tu hawana pesa wakati wakija kuzipata wao wenyewe hawatuonei huruma.Hawa masikini sio watu wazuri kabisa
Kwanza Ni viburi..Mimi ndiyo maana nasemaga usimpende mwanaume kwa kumuonea huruma kisa Ni masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alibidi nirudi kuangalia picha tena
Akili yangu inawaza upuuzi tu
Hapana kwa kweli shule nimekula sana mikate, kiasi kwamba siku hizi hata nikiwa na njaa na nina mikate tu ndani naiangalia tu naona bora nishinde na njaa yangu.
Doh afadhali sasa huu ndiyo muda muafaka wa kuja huko
Siyo kweli kivipi wakati mifano tunaiona kwenye jamii, na wenye tabia hiyo ndiyo wengi kuliko wasio nayo.Wanawake wote mnatuchukia siye masikini kwa kisingizio eti tukifanikiwa tunawapuuza, dhana hiyo haina ukweli
Sasa si bora hayo mambo mabaya anifanyie tajiri haitaniuma sana sababu najua sikumsaidia kutafuta, kuliko anifanyie niliyemsaidia kutafuta ndiyo itaniuma zaidi.Kimsingi unachosema ni kwamba unataka mwanaume tajiri. Fulustopu....
Ila hata matajiri nao wana mambo yao usije ukaingia kichwa kichwa eti unakwenda kula raha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Heheh! Alafu wewe bwana 😁Wewe KD mguu tu unamlainisha mrembo
Wala usiumize kichwa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nimeona jinsi ilivyokua ngumu kuingiza, hii ina maanisha bila mpunga bora uwe mpole tuHii inakuhusu 😀
Mimi mwenyewe Bora nishinde njaa kuliko kula mkateHapana kwa kweli shule nimekula sana mikate, kiasi kwamba siku hizi hata nikiwa na njaa na nina mikate tu ndani naiangalia tu naona bora nishinde na njaa yangu.
Yaani mvua imekauka..Kuna jua sanaDoh afadhali sasa huu ndiyo muda muafaka wa kuja huko
😂😂😂😂😂😂 acha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallahi nimecheka, na kweli mwenyewe nimegundua mtu akianza kusoma hiyo comment yangu kabla hajaiona hiyo picha lazima awaze upuuzi. Ila Davet bana [emoji1787][emoji1787]
Umeoma eeh?Siyo kweli kivipi wakati mifano tunaiona kwenye jamii, na wenye tabia hiyo ndiyo wengi kuliko wasio nayo.
Na udangaji ndiyo habari ya mjini kwa sasa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kwenda kujigongesha wakati amepata hela?
Huo sio upendo..huo Ni udangaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapambana weee halafu mtu anakuja kukutenda unabaki kushangaaSasa si bora hayo mambo mabaya anifanyie tajiri haitaniuma sana sababu najua sikumsaidia kutafuta, kuliko anifanyie niliyemsaidia kutafuta ndiyo itaniuma zaidi.
Halafu ujue bado kuna picha nakudai?Heheh! Alafu wewe bwana [emoji16]
Ulishawahi kuwa na njaa ya kweli kweli. Acha kukufuru !!!
Picha gani Anne? embu sema nikubariki hapa hapa