Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Ukisikia wasaga sumu, ndio kama huyo sasa. 😁Anko tulia bwana unataka Yego aghairi?
We Mlugaluga hebu kaa pembeni kwanza.Yego huyu mwoga mwoga hata usihangaike nae, kesha kukimbia hivyo [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya swali ungeamkia kwanza "shikamoo baabu".... Naam, ni mimi babu Anko [emoji1][emoji1]
Hao wote watatu hakuna mwenye uafadhali, wote waoga tu. 😁Unadhani Yegomasika ataitendea kazi hiyo kauli?
Huyuuuu.... View attachment 1411580
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]We Mlugaluga hebu kaa pembeni kwanza.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mzee wa ulojo kanikaba kweli kweli leo
Umetujumuisha wote hapo [emoji1][emoji1][emoji1]Hao wote watatu hakuna mwenye uafadhali, wote waoga tu. [emoji16]
Mwalimu wa Kemia kidato cha tatu na cha nne. Sengerema Secondary School.Mtambue...View attachment 1411688
[emoji818][emoji818][emoji736][emoji817][emoji817]DADA ZANGU MLIOMALIZA VYUO SAMBA ZIANENI ANDIKO HILI.
-------------------------------------------------
Wanawake wenye elimu ya kawaida ambao hawajafika chuo ni wachakalikaji sana. Wapambanaji na huwezi kukuta wanachagua kazi. Mwanaume akipata mwanamke wa aina hii na mwanaume akawa seriously. Ni rahisi sana kufanikiwa hasa wakiunganisha nguvu, pesa, na wazo la biashara.
Wanaume wengi tunachelewa kufanikiwa sababu ya tamanio la kuoa mabinti waliomaliza vyuo wenye elimu za juu. Lengo tuvune sifa ya kwamba tunamiliki watoto wenye elimu. Hapa wengi tunakosea. Sio tu tunakosea tunafeli kabisa.
Wanaume wengi waliofanikiwa wake zao wana elimu za kawaida sana. Jaribu kufuatilia utarudi kulipa vema andiko hili.
Ukimuoa binti aliyetoka chuo tena bado hajapata ajira na ukatoboa kimaisha. Nenda kafanye misa ya shukrani. Inaweza kutokea ukamuoa na mkafanikiwa. Lakini hii utokea mara moja katika kundi la watu laki 3.
Mabinti waliotoka vyuoni wengi wao sio wachakalikaji na hawana uthubutu. Wengi wakishatunukiwa degree akili zao huwa zinalala usingizi unaokaribiana na mauti.
Wakitoka kwenye graduation uhisi wamemaliza kila kitu. Ufikiri wao ndio wameishika remote control ya dunia. Ufikiri hakuna kiumbe yoyote wa kuwasumbua chini ya hii sayari iliyo tapakaa harufu ya wafu wa Corona. Uanza kufikiri wao wana uwezo hata wa kuhamishia maisha yao sayari ya Pluto.
Mabinti wengi wakitoka kumaliza vyuo. Wakishamaliza kupiga picha na yale majoho baada ya hapo. Akili zao alisia huwa wanazisahau karantini ya upotofu.
Wakirudi mtaani huwa ni watu wa kuchagua kazi. Wanapotazama makaratasi yaliyobeba GPA zao uanza kupumbazika fikra. Na kujiona wao ni watu wa daraja tofauti na wengine. Hawawezi kufanya kazi yoyote ya kawaida yenye kipato cha haki. Huwa wanataka kazi za kukaa ofisi zenye kiyoyozi. Ili poda isiyeyuka kwenye nyuso zao wanapominya kipad za laptop.
Wanapoanza mizunguko ya kutafuta kazi. Ndani ya pochi zao huwa havikosekani vitu vinne. Seti ya make up, kioo, na kifurushi cha dharau na jeuri.
Wengi utamani kuolewa na mwanaume msomi. Anayemiliki sebule yenye sofa na kapeti la manyoya. TV flat screen inch 72 iwe ukutani sambamba na dishi la DStv. Awe anaishi nyumba self contained yenye tiles za maana bafuni. Na salary ya mwanaume huyo lazima iwe yenye 7 digit.Yaani awe na mshahara wa kuanzia milion.
Mabinti wengi waliomaliza vyuo, huwa hawawazi kuolewa na mwanaume mwenye salary ya take home laki mbili na elf 23.
Wengi utoka vyuoni wakiwa na ndoto za kuishi kishua. Lakini ushindwa kutumia juhudi kugeuza ndoto zao kuwa simulizi za kweli. Wanawake wengi wanaomaliza vyuo huwa hawaolewi na wanaume wanaowatengeneza ndani ya fikra zao.
Wanawake waliomaliza vyuo wengi wanachelewa kufanikiwa. Sababu wakitoka vyuo huwa wanakuta mtaa una taratibu, sheria, na kanuni zake. Mtaa ni chuo kikuu kinachotoa elimu bila ada. Dada zangu mnapomaliza vyuo lazima mjue hili. Mkitaka mfanikiwe lazima muwe flexible. Mbadilike kulingana na mazingira. Zile material za chuo kwa asilimia kubwa hazi apply kwenye maisha alisia ya mtaa.
Samba zianeni andiko hili. Najua muda huu wengi mpo Instagram mna post picha mlizo ji edit kwa camera ya 360. Mpo bize kuandika caption za maisha mnayoyaota. Kama nimewakosea msi uhukumu mkono ulioandika article hii. Mkono umetumika kama chombo tu, kuwasilisha fikra zilizotoka ndani ya ubongo wangu."
Imeandikwa na kaka yenu mpendwa Green Osward
Bro...Milkshake? Milkshake like the one I am thinking about? Milkshake milkshake? Thick milkshake? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nitakutumia kwa JF Pesa sio?
Ukimpata nitakufundisha kutengeneza Milkshake nyingine..
Hamna kitu hapo. Tangu achemshe kwa prof nikikutanaga naye na makorokocho yake ya shughuli huwa naishia kucheka tu. Hakuna kitu pale tena ziro kabisa skweadi [emoji16][emoji16][emoji16]Unadhani Yegomasika ataitendea kazi hiyo kauli?
Huyuuuu.... View attachment 1411580
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenDADA ZANGU MLIOMALIZA VYUO SAMBAZIANENI ANDIKO HILI.
-------------------------------------------------
Wanawake wenye elimu ya kawaida ambao hawajafika chuo ni wachakalikaji sana. Wapambanaji na huwezi kukuta wanachagua kazi. Mwanaume akipata mwanamke wa aina hii na mwanaume akawa seriously. Ni rahisi sana kufanikiwa hasa wakiunganisha nguvu, pesa, na wazo la biashara.
Wanaume wengi tunachelewa kufanikiwa sababu ya tamanio la kuoa mabinti waliomaliza vyuo wenye elimu za juu. Lengo tuvune sifa ya kwamba tunamiliki watoto wenye elimu. Hapa wengi tunakosea. Sio tu tunakosea tunafeli kabisa.
Wanaume wengi waliofanikiwa wake zao wana elimu za kawaida sana. Jaribu kufuatilia utarudi kulipa vema andiko hili.
Ukimuoa binti aliyetoka chuo tena bado hajapata ajira na ukatoboa kimaisha. Nenda kafanye misa ya shukrani. Inaweza kutokea ukamuoa na mkafanikiwa. Lakini hii utokea mara moja katika kundi la watu laki 3.
Mabinti waliotoka vyuoni wengi wao sio wachakalikaji na hawana uthubutu. Wengi wakishatunukiwa degree akili zao huwa zinalala usingizi unaokaribiana na mauti.
Wakitoka kwenye graduation uhisi wamemaliza kila kitu. Ufikiri wao ndio wameishika remote control ya dunia. Ufikiri hakuna kiumbe yoyote wa kuwasumbua chini ya hii sayari iliyo tapakaa harufu ya wafu wa Corona. Uanza kufikiri wao wana uwezo hata wa kuhamishia maisha yao sayari ya Pluto.
Mabinti wengi wakitoka kumaliza vyuo. Wakishamaliza kupiga picha na yale majoho baada ya hapo. Akili zao alisia huwa wanazisahau karantini ya upotofu.
Wakirudi mtaani huwa ni watu wa kuchagua kazi. Wanapotazama makaratasi yaliyobeba GPA zao uanza kupumbazika fikra. Na kujiona wao ni watu wa daraja tofauti na wengine. Hawawezi kufanya kazi yoyote ya kawaida yenye kipato cha haki. Huwa wanataka kazi za kukaa ofisi zenye kiyoyozi. Ili poda isiyeyuka kwenye nyuso zao wanapominya kipad za laptop.
Wanapoanza mizunguko ya kutafuta kazi. Ndani ya pochi zao huwa havikosekani vitu vinne. Seti ya make up, kioo, na kifurushi cha dharau na jeuri.
Wengi utamani kuolewa na mwanaume msomi. Anayemiliki sebule yenye sofa na kapeti la manyoya. TV flat screen inch 72 iwe ukutani sambamba na dishi la DStv. Awe anaishi nyumba self contained yenye tiles za maana bafuni. Na salary ya mwanaume huyo lazima iwe yenye 7 digit.Yaani awe na mshahara wa kuanzia milion.
Mabinti wengi waliomaliza vyuo, huwa hawawazi kuolewa na mwanaume mwenye salary ya take home laki mbili na elf 23.
Wengi utoka vyuoni wakiwa na ndoto za kuishi kishua. Lakini ushindwa kutumia juhudi kugeuza ndoto zao kuwa simulizi za kweli. Wanawake wengi wanaomaliza vyuo huwa hawaolewi na wanaume wanaowatengeneza ndani ya fikra zao.
Wanawake waliomaliza vyuo wengi wanachelewa kufanikiwa. Sababu wakitoka vyuo huwa wanakuta mtaa una taratibu, sheria, na kanuni zake. Mtaa ni chuo kikuu kinachotoa elimu bila ada. Dada zangu mnapomaliza vyuo lazima mjue hili. Mkitaka mfanikiwe lazima muwe flexible. Mbadilike kulingana na mazingira. Zile material za chuo kwa asilimia kubwa hazi apply kwenye maisha alisia ya mtaa.
Sambazianeni andiko hili. Najua muda huu wengi mpo Instagram mna post picha mlizo jiedit kwa camera ya 360. Mpo bize kuandika caption za maisha mnayoyaota. Kama nimewakosea msiuhukumu mkono ulioandika article hii. Mkono umetumika kama chombo tu, kuwasilisha fikra zilizotoka ndani ya ubongo wangu."