Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sina wasiwasi na wewe. Kama unayoyaandika hapa ni ya ukweli huna kiburi cha elimu na sina wasiwasi na wewe. Omba tu usije ukaangukia kwa libaharia lisilo na mwelekeo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Eti libaharia lisilo na mwelekeo[emoji23][emoji23]
Ila mabinti wengi wapo hivyo..wengine tupo nao na anakuhadithia kabisa kuwa hajui kupika Wala kufua..vyote anafanyiwa.

Wengine wanatushangaa tunaenda shambani ..kulikoni kubaki nyumbani bila kazi akheri niende shamba,nisuke,nishone nipate Mia mbili mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi wewe unaenda piga picha tu 😂😂
 
Wqpi wewe unaebda piga picha tu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Mimi nafanya kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sichagui kazi..maisha yenyewe ya kwetu magumu tu.
Hivi nikimalizana na shamba naenda kutafuta kazi..hata uhousegirl.
Kama kwenu mna shida ya housegirl utanistua[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
That's what I am talking about...Shahada ni makaratasi tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…