andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Anko umevaa nguo mpya?
Unaonana na nani leo??
Jamaa ana hoja ya msingi sana ambayo wengi wangeizingatia wangeishi maisha yasiyo na stress katika ndoa zao na hata kuepuka kufa mapema kwa sababu zisizo na msingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wote watatu hakuna mwenye uafadhali, wote waoga tu. [emoji16]
Inawahusu pia akina kaka. Tunawaona wanakuja huku kitaa na upper second zao na hata first class. Hawana elimu ya kitaa na kujifunza hawataki. Ndo hawa utawasikia kila siku wanalalama jiwe kabana lakini mishe za kawaida hawataki. Kwa jinsi mfumo wetu ulivyo viajira vya jiwe havitasaidia lolote hata kama vingeachiliwa vyote....Hapa sitii neno kabisa
Mpendwa wewe ni mtu wa pekee sana. Ukiniuliza kwanini nimesema hivyo, kiukweli hata mimi sijui. Lakini wastahili sifa bila unafiki. Mungu ana jambo jema na wewe hapa duniani. Na si siku nyingi zijazo...[emoji122][emoji122]Ubarikiwe unajitambua mrembo
Huyo mwanamke ni mpumbafu[emoji706][emoji706]Jamaa alivyoandika kama mume akiona uzi lazima ajue lulu yake ipo mbioni kuliwa.
Haka ka dada kana lips poa
Jamaa ana hoja ya msingi sana ambayo wengi wangeizingatia wangeishi maisha yasiyo na stress katika ndoa zao na hata kuepuka kufa mapema kwa sababu zisizo na msingi
#KwaniWanaondokaNayo?
#HaimalizagiUtamu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Amin[emoji122][emoji122]Ubarikiwe unajitambua mrembo
Ndio naona saa hizi [emoji1][emoji1][emoji1]Na wenye masikio waone[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi anko unajua kama umechapia?
Hivi kujirahisisha ndo kukoje[emoji848][emoji848]Jamaa wameshamuonya tayari....anaweza kujikuta kibao kimemgeukia....
Dhambi hii nilishaapa kuwa sitakaa iniangushe (tena) japo wake za watu wana tabia ya kujirahisisha sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Savage[emoji16][emoji16]
Tangu lini umeanza kuuamini huu usemi?Nimekupata bro
Lakini Kuchapiwa Hakuepukiki kamwe, Twende na hii bro
Kwamba na wewe utachapiwa??[emoji848]Bro Mimi Tayari nimekuelewa na nimeshakubari
Kwa pamoja twende na
#KUCHAPIWAHAKUEPUKIKI
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo Mimi nafanya kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu sichagui kazi..maisha yenyewe ya kwetu magumu tu.
Hivi nikimalizana na shamba naenda kutafuta kazi..hata uhousegirl.
Kama kwenu mna shida ya housegirl utanistua[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia hivyo hivyo ulambe dawa, babe siyo quote yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CarbaYaani wewe[emoji23][emoji23]
Kwema shemShemeji kwema? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]