Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mtoto wa kiume gangamala, tafuta hela, mpe wife hela,mheshimu,wajibika ipasavyo,piga shoo ya jasho na damu akukumbuke kila saa kila wakati, hata akienda kwa mchepuko picha yako itawale mawazoni mwake. Wanawake wengi wanachepuka kwa kutothaminiwa na waume zao.
Kama yote hayo umemtendea na bado anachepuka usisite kumpa adhabu, namaanisha adhabu kubwa kabisa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] denver bhanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikita nakisikia kile kicheko
Kweli nini babe, msaidie anko bhana[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ni kweli?
Why??
Wewe shwaini na ushauri wako nao shwaini vile vile... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3]!!!! Kisifanyike kitu Anko mpaka pale utakapo imiliki hiyo Laptop nyingine
#najuahuwezikufurahiahuuushauri
#lakinihakunanamna
Anakicheko kibaya[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] denver bhanaa
Kuvunjika kwa mwiko siyo mwisho wa.....
Ozil simfahamu ila the way alivyodescribe Davet kanichekesha [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siunaona sasa mambo ya Mkatalunya hayo, kuelewa mikimbio yake inakua ngumu maana muda mwingi anatembea tembea tu uwanjani ila mwisho wa siku utamuona kwenye kibendera tayari anashangiliaHapo mmpega one two beki nimeshindwa nyanyua hata mguu
Ooh.! Basi itabidi jamaa atengeneze mazingira baina yake na mwenye anamtafuta wawe social kidogoKuna Mdau hapa anakuwaga anamtafuta Mdau akiwa na shida Tu na yupo straight vibaya sasa jamaa analalamika sana, anadai at least asingekuwa Straight kama alivyo
🙌🏽Siunaona sasa mambo ya Mkatalunya hayo, kuelewa mikimbio yake inakua ngumu maana muda mwingi anatembea tembea tu uwanjani ila mwisho wa siku utamuona kwenye kibendera tayari anashangilia
[emoji2296]nimesahauKuvunjika kwa mwiko siyo mwisho wa.....