moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Material ya kitengenezea hii mikeka yanatokana na nini ?
Mama mzaa bibi yangu alikuaga mtaalamu wa hizi mambo. Ningekua na mzuka na ukiri saiv ningekua mtaalamu sana yaan alikua anatoa mikeka mizuri ya kila ainaVipo boss
Tusisahau asili yetu..waweza kuwa mteja wangu kwa kuweka order yakoView attachment 1413579View attachment 1413582View attachment 1413583
Sent using Jamii Forums mobile app
UkinduVipo boss
Tusisahau asili yetu..waweza kuwa mteja wangu kwa kuweka order yakoView attachment 1413579View attachment 1413582View attachment 1413583
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mama yangu anasuka..ndiye aliyenifundisha..Mama mzaa bibi yangu alikuaga mtaalamu wa hizi mambo. Ningekua na mzuka na ukiri saiv ningekua mtaalamu sana yaan alikua anatoa mikeka mizuri ya kila aina
Marahaba hujambo
Ukindu
Kama huu juu tunachemshia na rangi unakuwa namna hiyo ndipo tunasuka
Au
Tunasuka kwanza ukindu mweupe bila kuweka na rangi
Alafu tunachemsha na rangi baada ya kumaliza kili,Kili yake Ni Kama hiyo ya chiniView attachment 1413602View attachment 1413605
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha mia mbili mbili bana sema elfu elfu anne unapenda kauliza kimaskini wakati mna utajiri wa kutosha. Waza maendeleo waza mambo makubwa.Mimi mama yangu anasuka..ndiye aliyenifundisha..
Iko ya Aina nyinginyingi Kama sasa huo nasuka mkufu
Kuna moyo,kizingiti na nyingine nyingi.
Mimi nimetokea tu kupenda ..namsaidia mama,akishona akiuza tunapata miambili mbili za kula kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππHakuna cha mia mbili mbili bana sema elfu elfu anne unapenda kauliza kimaskini wakati mna utajiri wa kutosha. Waza maendeleo waza mambo makubwa.
Kuna aunt yangu anashona vikapu vizuri nataman kujifunza tatizo anaishi mbali mno
π πKabisaaa huwa najichimbia humu ukiona nimetoka ujue nimeenda chokoza team domo kule celebrity wana mapovu ya bure bure wale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha ya mmea Sina kwa sababu hauoti huku kwetu.Ahaaa Thank you Very Much
Unayo pich yake ya huo Mti/Mmea ? (Ukindu)
[emoji3][emoji3][emoji3]