moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sis. Izi zati yu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niache mdogo wangu bwana sitaki ya Jana yajirudie.!
Ila hako nako katakuwa na umbo dogo kama pilipili kichaa.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Neno bora sana anko. Kupitia humu nimepunguza ligi zisizo na kichwa but daah muda si mrefu si nimemsunta mod(jamaa kaja na id yake ya active akionyesha mahaba kwa team mond huko) jaman hapa nilipo najiandaa na kifungo kingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakua wamenionea sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari hii watakunyoosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo dirishan nawacheki tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niseme tu hii ban ni halali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Esta tayari yuko huko anasaka ban. Dah !!![emoji16][emoji16][emoji16]Niseme tu hii ban ni halali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rest in peace Anko... Mwee!!!
Kwani hauwezagi kunyamaza?
Haya tupia tafiti zako haraka haraka kabla hajakuwezea... Mimi nitajitahidi kuminya minya nanihii kumzubaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu mzee andjul ana miaka 60 kweli, mbona akiandika hakosei?Kwa kweli watu wa kwenye huu uzi mna upendo sana, sio Anne yule ambaye watu walikuwa hawamuelewi kwa misimamo yake, leo hii tupo nae hapa, natamani niongee nae mengi sana.
Maisha yana mapito yake, kuna walio toka kwenye familia ya kitajiri lakini mwisho wa siku wakashuka mpaka ground level, kuna walio toka kwenye umaskini maisha yao yamepanda juu, wapo wanao hemea pale pale walipofikia. Lakini yote ni maisha.
Humu tuna watu wa kila aina, wengine tumesaidiwa na wa humu humu leo hii hatuna stress tena,japo tuna gombana sana, tena kuliko kundi lolote la members humu JF lakini tunayamaliza kwa hekima.
Niseme tu Anko, huyu binti ananikumbusha mbali,kuna muda nakaonea huruma sana.
Jana kasema lazima alime maana elimu yake inagharamiwa na hayo mavuno. Leo anakuambia wanasuka ili wapate kuuza kwa ajili ya mahitaji ya kila siku. Japo sio kwa asilimia mia moja ila huo ndio uhalisia wa maisha yetu.
Umemkataza kujiangushia kwenye jamvi la umaskini wa mia mbili mia mbili, haujakosea maana hata mimi mwaka juzi SYB alinikataza kuitumia hiyo lugha ya kujishusha na kukata tamaa.
Nakujua Anko, nakujua sana hadi tabia yako, msaidie huyo mtoto,kauli ya kutia moyo inaponya.
Kuna watu watatu humu walinishika mkono nikiwa totally nimezama kwenye mawazo ya umauti.Mnajijua Ankoo,mlifanya nini...
Mungu ni mwema wakati wote [emoji120]
Samahani kwa gazeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
usinitafutee...... nyakati hizo nilikuwa nina miaka 20Nipo busy - Jafarai
Aiseeusinitafutee...... nyakati hizo nilikuwa nina miaka 20
unashangazwa?Aisee