Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Ujana wako ndio ulikua unakolea sasa(kama kweli)...... kipindi hicho wengine tulikuwa bado sanausinitafutee...... nyakati hizo nilikuwa nina miaka 20
Mwanangu wa kwanza analingana na weweunashangazwa?
huamini?
nimekupita kiumri, au umenipita?
nina miaka 38
Ni bora hata usiijaribu hutoipenda,Sijawah tumia app,ni mwendo wa browser tu
swadakta.... enzi hizo tunakwenda baharini kuvua kambareUjana wako ndio ulikua unakolea sasa(kama kweli)...... kipindi hicho wengine tulikuwa bado sana
π π πSis. Izi zati yu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
labda tunalingana kiurefu...... joti ni mfupi lakini umri wake unalingana na mpokiMwanangu wa kwanza analingana na wewe
Kambare au Papa?swadakta.... enzi hizo tunakwenda baharini kuvua kambare
shshshsssh..!Kimya kimya - Gwear & Mo
ina maana mpaka huko canada wasukuma wanafuga ng'ombe?π π π
Good Lord..! Nitaambia nini watu.?
Shikamoo bro, nyumbani hawajambo.!? Vipi mashamba na mifugo.!? Na wale majirani wanaendeleaje?
kwani sijui kuandika papa...Kambare au Papa?
Kimya kimyaaa....shshshsssh..!
Mbona unaharibu cheza ...
ππ samahanikwani sijui kuandika papa...
ushakula sembe kwa dagaa la kukausha?
kama gari, fedha, nyumba nilikupa, lakini bado penzi lako............Baby Girl - Mad Ice
nenda polisi ukaombe msamahaππ samahani
π ππππππ
Nimecheka kama yule mtu wa nyuma ya mti
Eeh wasukuma mmezidi πππ