Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo ya jamaa wa kuitwa David Horvitz, ndio chanzo cha haya usemayo
 
Update: Movement within the Nairobi Metropolitan Area is permitted except for the national curfew period of between 7pm and 5am. What is prohibited is the movement IN and OUT of the Gazetted areas for the period of 21 days effective 7.00pm tonight 6th April 2020!
 
well done

Ikiwa ndio baadhi ya wachezaji wanaelekea kumaliza mikataba yao na Dirisha la usajili la msimu wa joto linakaribia;

Shirikisho la Kandanda Ulimwenguni FIFA hatimae limetoa ufafanuzi zaidi kwamba mkataba wa mchezaji utamalizika kwenye klabu yake pale tu msimu wa Ligi utakapomalizika.

Kwasasa ikumbukwe kwamba ligi kadhaa Ulimwenguni zimesimama kutokana na kisa cha janga la mlipuko wa virusi vya Corona na ligi mbalimbali zilitaraji kuhitimishwa mwezi ujao wa Mei

Hivyo ni wazi mkataba wa wachezaji na klabu yake uhesabike kwamba utamalizika pale tu msimu wa ligi utakapo kuwa umemalizika.

Wakati huohuo pia FIFA Imethibitisha kuwa dirisha la usajili msimu wa majira ya joto litaendelea zaidi ya Juni 30 ikiwa ni mapendekezo yaliyokubaliwa na wadau wote pamoja na viongozi wa mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…