Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hivi filimbi Imefanyaje vile?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
NdiyoHata wewe?
Dah....ngoja nitafute tafsiri ya hili gazeti lako kupitia google translator.
Kwa wale ambao hawajui, 241543903 ni kumbukumbu inayoongoza ambayo inajumuisha kuchukua picha yako na kichwa chako ndani ya freezer. jambo hili ambalo lilianza mnamo 2009 katika wavuti ya mitandao ya kijamii Tumblr, kwa kweli lilikuwa ni tukio la David Horvitz, msanii aliyejulikana kwa jina la (kando na mwamba wa 241543903) akianzisha usajili kwa picha zake za kila siku za angani.
Wakati huo, Horvitz alikuwa anaendesha ukurasa wa Tumblr ambapo alichapisha bila mpangilio, lakini kwa busara maagizo (wakati mwingine huonyesha kutafakari) kwa wafuasi wake kila siku. Kuchukua picha na kichwa chako ndani ya freezer na kuipaka na nambari ya bahati nasibu ya "241543903" ilikuwa moja ya maagizo haya
. Inaonekana Horvitz alipata wazo hilo baada ya kumwambia rafiki mgonjwa kujaribu kujaribu kushikilia kichwa chake ndani ya freezer. Nambari 241543903 Horvitz iliyochukuliwa ilikuwa mchanganyiko wa idadi ya jokofu ya jokofu lake na barcode kwenye begi la edamame na kifurushi cha noodle za soba waliohifadhiwa alikuwa akizihifadhi hapo. Hali hiyo ilianza mapema mwaka 2009 na mpaka sasa, bado inachukuliwa kuwa moja ya hali ya kukumbuka isiyo ya kawaida kutokea kwenye mtandao
Ikurudie mkuu.Mpaka leo hata sisi hatujui kapotelea wapi asee!
Heshima yako brother
the power of love...... mapenzi hayachagui kabila, sura wala umri.....Aah pongezi zao
Ndio ndio! Nae amekuwa bidhaa hadimu sana, tunaomba na tunaimani watakuwa salama huko walipoIkurudie mkuu.
BAK naye kapotea sana.
Jamani amkeni amkeni πThink Twice"
Don't think I can't feel that there's something wrong
You've been the sweetest part of my life for so long
I look in your eyes, there's a distant light
And you and I know there'll be a storm tonight
Hata Mimi namuuliza kdSaint Anne hiyo filimbi ni nini mdogo angu
Okay mkuu...Ndio ndio! Nae amekuwa bidhaa hadimu sana, tunaomba na tunaimani watakuwa salama huko walipo
ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Siunamjua dada yako akishikilia bango hashushi mpaka mamlaka watekeleze matakwa yake [emoji3]
tulia bwana weeee....Jamani amkeni amkeni π
Hahah! Fatilia trend ya post no ......672 utaona chanzo chake
πππtulia bwana weeee....
nataka niihifadhi hayo mashairi (kuna binti fulani wa kihindi anataka kuniacha solemba kwa sababu nina mapengo)
πππ ni nini?King king king king ndururu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1751]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Hilo jina bado hulitaki?nipo nashangilia kwa kupewa wimboπππ ni nini?