Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nishaacha alcohol mazima kabisa. Naelekea mwaka wa 5 sasa. Sasa ni mwendo wa vijiwe vya tangawizi tu bro [emoji16]Ila naimani sasa hivi unaenda nayo sawa tu
😂😂😂😂
Dah! Big up sana bro... na Muumba azidi kukusimamia ubaki humo humo kwenye misingi mipyaNishaacha alcohol mazima kabisa. Naelekea mwaka wa 5 sasa. Sasa ni mwendo wa vijiwe vya tangawizi tu bro [emoji16]
Subiri tu bro. Kila kitu kitajulikana soon. Nimeona WHO wanaichimba mkwara Afrika kuwa "it is next as the number of cases are increasing exponentially". Halafu wakaanza kutoa idadi ya ventilators. Eti Burkina Faso nchi nzima ina ventilators 11 tu wakati population ni milioni kadhaa. Tayari michango imeanzishwa na wafadhili kununua ventilators tayari kuzileta nchi za Kiafrika...Watu wametoka Tz wameenda kuongeza idadi ya case huko kwao, hii inamaanisha kichi kirusi kipo mtaani tu
Amen bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Dah! Big up sana bro... na Muumba azidi kukusimamia ubaki humo humo kwenye misingi mipya
Kwani ile jioni ya filimbi hivi ulimaanisha Nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeelewa somo bila hilo tusi usingeelewa mkuu.[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimesoma koment yangu Nimegundua kitu, Hakuna shida Mimi kuongelea Filimbi Shida ni huo uwasilishaji wangu ndio umeleta ukakasi
.
La kuongezea Mimi nilikuaga Bonge Sana
Nlikua nahiy shida Ndio mana nikasema kwa unene huo yeye hawezi Hata afanye
Nakazia Shida ni huo ni Uwasilishaji wangu wala sio Mimi kuongelea filimbi
" Nimeandika Soft Sana Ndio Tatizo na ndio ulipaswa wewe useme hilo sio Mimi kuzungumzia filimbi "
Mfano. Mimi kutaja Uume hii imeleta Shida ningeandika neno Kama (Ndonga)
Yaani Ningeandika Kama vile Niko na Masela wala tusingefika huku
[emoji28][emoji28][emoji28]
Haya si Matusi haya Aisee ?
" kwa mwanamke mpenda wanaume kuliko mwanamke mpenda wanawake "
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Triplets....
View attachment 1414086
nikipata kama hao (triplets) mke wangu nampa zawadi ya mti wa krismasiTriplets....
View attachment 1414086
Unafikiri nilishasahau hii ishu? Halafu hata sijui nilikwama wapi wallahi wakati ndo ulikuwa bado mgeni mgeni dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23] dah estaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeelewa somo bila hilo tusi usingeelewa mkuu.
So ubonge umeshaukimbia au?