Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui ni hizi ngozi, sijui ni hali ya hewa kama wasemavyo laa sivyo naimani zile takwimu kubwa kubwa za baada ya masaa 24 zingetuhusu sana....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeelewa somo bila hilo tusi usingeelewa mkuu.

So ubonge umeshaukimbia au?

Hahahahh Hapana ata sio tusi lako Nimejielewesha Mwenyewe [emoji28]
.
Amna Noma though [emoji2936][emoji95][emoji2935]

Ndio nimeukimbia Nina Six Pack Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…