moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
The BlacklistPicha Gani hilo.?
Usikonde
Hebu weka picha ya hiko kitambi chako kwanza tuoneNilijua kitambi changu ni kikubwa zaidi kumbe kuna wakali wengine [emoji23][emoji23]
ππππUstaadh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huamini Carba? Kipo kikubwa alafu kinauma hicho πHebu weka picha ya hiko kitambi chako kwanza tuone
Sawa sawa ankoo!!Mtoto wa kiume gangamala, tafuta hela, mpe wife hela,mheshimu,wajibika ipasavyo,piga shoo ya jasho na damu akukumbuke kila saa kila wakati, hata akienda kwa mchepuko picha yako itawale mawazoni mwake. Wanawake wengi wanachepuka kwa kutothaminiwa na waume zao.
Kama yote hayo umemtendea na bado anachepuka usisite kumpa adhabu, namaanisha adhabu kubwa kabisa yaani.
Sent using Jamii Forums mobile app