Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoo mjanja sana
Anatafuta wa kumvesha paka kengele[emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Pengine hujui tu. We never learn things in isolation. Utakuta fomyula hii iliungana na ule uchambuzi wa sentensi kwa njia ya matawi na kuifanya akili ichangamke zaidi mpaka ukajifunza hicho kinachokusaidia sasa hivi kwa urahisi...

Ila Calculus kama somo la lazima mwaka wa kwanza chuo kikuu ni kupotezeana muda. Shwaini zake Isack Newton ....
 
Sijui ni vile hatuna vitendanishi vya kutosha kigundua huu ugonjwa
Sijui....

[emoji124][emoji124][emoji124]
Kuna jamaa huko kailinganisha Tanzania na burundi huku anaiponda Tanzania kwa tawimu chache za wagonjwa huku akiisifia burundi kwa takwimu hafifu kisa hawana kipimo daah. Tanzania kipimo kipo dar tu sasa kuanza kulalamika tu ni upoyoyo
 
Bro bana usiwe unaumia kimyakimya wakati mimi nipo uwe unanistua nikijisahau [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi chache umekuwa ukiingia unarusha nyimbo zako halafu huyooo fasta unakitoa. Basi nikawa sina la kusema. Nitafanya hivyo sis. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…