moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jamani hivi yule ISIS yuko wapi yule ?
Mwenyewe ilinibababaisha sana nikafikiri ni yale mambo niyapendayo sana kumbe likitambi la fala mmoja hivi....Hooovyoo !!!Sijui kwanini kila nikiiangalia hii picha macho yanaona kitu cha tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
#sitakimaswali
Poa poa mkuu,, shukrani sanaYeah mkuu, lakini nipo sana tu.
Jioni inaaga...Mungu atupe usiku mwema
Hii kitu tunaichukulia kisiasa zaidi.Pointmuhimu ni hapa burundi na Tanzania hazina tofauti na hazijauchukulia ugonjwa serious,hatuna ile panic kama ya wakenya. Watanzania wengi hasa wafuasi wa upinzani wanatamani action za kenya hapa nchini wanasahau hata bila hizo action tunapata tabu sana
kuna uzi uliwahi kuletwa...inasemekana jamaa amekufa
Owk sawa carbamazepine!!Tatizo nilikuwa naangalia huku nafanya mambo mengine.
Nikipata muda nitaicheki tena
Ndo ulikuwa unaimba kizungu?yes, kipindi hicho nipo zangu Tabora.....
mji mzima nilikuwa namiliki redio peke yangu
😀😀 huyu ni just sul??Yaani wewe nae kwa ubishiView attachment 1414196
Ikurudie mkuu.
BAK naye kapotea sana.
Amkeni amkeni amkeniiiiiI want to love you
I want to love you, and treat you right
I want to love you, every day and every night
BAK naye yuko wapi ?
hapana nilikuwa naimba kipembaNdo ulikuwa unaimba kizungu?