Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuhusu BAK daaa,
Sijui kimempata kitu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu aliwahi kuleta uzi humu ukafutwa ghafla eti alishakamatwa. Ila zilikuwa ni tetesi...na picha kabisa ziliwekwa. Hakutaja mhusika ila watu wa code waliunganisha doti wakaanza kusema lazima atakuwa ni yeye...I hope yuko OK huko aliko au si ajabu alishachonga fyekero yumo humu anatuinjoi tu...
 
Hii ndo hali ya mzee wetu myoya kuanzia leo hadi jumanne[emoji23]View attachment 1414226
Mnamuonea Jirani wakati mkimya hana maneno mengi isipokuwa tu mafumbo mazito sana ya hapa na pale. Hata akija hapa ataishia tu kusema duh! Au viemoji hapa na pale; na kutoa pole zake halafu anaanza kuchombeza usiku wa ujiiii huyoo anakwenda zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…