Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona ameshaanza kuteka mizigo ya wenzie pia bidhaa zote za afya zenye nembo za marekani kazitaifisha. Na tweet zake za kila muda daah msala mzito
 
Licha ya kuwa Liverpool inatajwa kuwa karibu zaidi kumsainisha straika huyo mwenye umri wa miaka 24, lakini kikwazo kikubwa kinatajwa kutoka kwa miamba ya soka kule Ujerumani, Bayern Munich ambayo pia imeonesha nia ya kutaka kumsainisha mchezaji huyo.
 
Taarifa kutoka England zinadai Liverpool itahitaji kumsainisha starika huyo kufuatia shinikizo kubwa kutoka kwa mashabiki wake ambao wanaulazimisha uongozi wa timu hiyo kuwekeza juhudi zao zote kwenye kuikimbizia saini ya Werner ili kuongeza nguvu kwenye kikosi chao.
 
Shinikizo hilo linatokana na hofu ya kuingiwa na uchovu wa msimu kwa washambuliaji wake Mohamed Salah, Sadio Mane na Roberto Firminho ambao wametumia nguvu nyingi ndani ya misimu miwili katika Ligi Kuu England na fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
 
mataifa mengi ya ulaya yalizembea kwenye ishu ya corona........ sijui ni kipi kilichowafanya wajiamini haliyakuwa wachina ndio wenye ulimwengu wa biashara (ni ngumu sana kuepuka muingiliano dhidi ya watu wanaotoka china kwa shughuli yeyote ile).

wafaransa na wao waliudhihaki sana huu ugonjwa
 
Shetani lengo lake ni kutawala dunia. Huwezi kutawala dunia bila elimu!

Shetani anajua kwamba sisi ni warithi wa wokovu na kwamba dunia hii ni kitu kilichoahidiwa kwa Ibrahimu na watoto wake. Sisi wote ni watoto wa Ibrahimu. Anajua kabisa kwamba baadaye sisi ndiyo tutakaokuwa watawala halisi wa dunia hii. Hivyo, anajitahidi kwa kadiri ya uwezo wake wote ili hilo lisitokee. Shetani na malaika wake ni wengi sana, na wanatumia kila silaha waliyokuwa nayo kutawala dunia.
 
Inavyoonekana, kadiri mtu anavyozidi kupata elimu ndivyo anavyozidi kudharau uwepo wa Shetani na uwepo wa Mungu pia. Lakini, kwa upande mwingine, ndivyo anavyoonekana hajasoma sana na ndivyo Shetani anavyozidi kulaumiwa kwa kila dhambi inayotendeka.

Kuna elimu ya kidunia na kuna elimu ya kidini. Huwezi kutawala dunia bila elimu ya kidunia, kwa sababu Shetani anajua ukiipata elimu hiyo hutajua kama yupo; na huwezi kutawala dunia bila elimu ya kidini, kwa sababu Mungu anajua ukiipata elimu hiyo utajua kama yupo. Hivyo, utamdharau Mungu ukipata elimu ya kidunia, utamheshimu Mungu ukipata elimu ya kidini.
 
Kama Shetani anatumia elimu kutawala dunia kama vile Mungu anavyotumia elimu kutawala dunia, nani alisema kuwa baadhi ya wasanii wa ‘Bongo Movie’ na ‘Bongo Flava’ ni wanachama wa chama cha siri cha kusaidiana cha wajenzi huru? Je, wana elimu? Jibu unalo.

Anayesema fulani ni mwanachama wa chama cha siri cha kusaidiana cha wajenzi huru ana hakika? Haya mambo ni siri. Amejuaje? Kumbuka, usiamini, jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…