moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
dennis bergkamp hakupewa heshima inayostahili na wapenzi wa soka (kuna msemo unasema mtumikie kafiri uende zako na ndicho kilichomtokezea dennis, pires, wiltord, ljungberg)
heshima zote alipewa thiery henry kichogo
Ray Parlour alikuwa ni mzungu kichaa.......dah! watu wagumu wameshapita na nyakati zao.Hata Patrick Vieira na Ray Parlour hawakupata hishima inayofaa ingawa walikuwa nguzo muhimu katikati pamoja na Emmanuel Petit
Umezungumzia Liverpool, nmemkumbuka Dirk Kyut.. Winga toka Uholanzi,huyu mtu huwa namkumbuka kwenye ile fainal ya kihistoria Liverpool Vs AC MilanRay Parlour alikuwa ni mzungu kichaa.......dah! watu wagumu wameshapita na nyakati zao.
tony adams, lee dixon.
pale liverpool alikuwepo danny murphy, hammann.
yule jamaa hakuwa na sifa ya uzungu......... alikuwa anakwenda mbio mpaka mwili wake unabadilika rangi.....Umezungumzia Liverpool, nmemkumbuka Dirk Kyut.. Winga toka Uholanzi,huyu mtu huwa namkumbuka kwenye ile fainal ya kihistoria Liverpool Vs AC Milan
Waulize wazungu walioko kwenye hosteli za magufuli.unaogopa kunguni?
Unadaiwa aisee, wewe endelea kujiachia tuu.leo TTCL wamejisahau?
nimejiunga MB 500 tokea asubuhi........ nimeshatumia mpaka nimechoka (kuperuzi kwenye tovuti za kawaida)...
nimeangalia videos na bado naendelea kuangalia videos mpaka muda huu
hahahhaaaaaa acha masiharaUnadaiwa aisee, wewe endelea kujiachia tuu.
Ni kwa ajili ya Korona labda. Hapa mimi mtandao ni bure kabisa mpaka Mei 31. Hata ule GB 50 kwa siku ni friiiileo TTCL wamejisahau?
nimejiunga MB 500 tokea asubuhi........ nimeshatumia mpaka nimechoka (kuperuzi kwenye tovuti za kawaida)...
nimeangalia videos na bado naendelea kuangalia videos mpaka muda huu
Hamna cha bure.hahahhaaaaaa acha masihara
Yaani uneshabadili ile Avatar πππ