Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

COVID 19.
Maambukizi ya Corona
Afrika Mashariki na nchi jirani.
1.Kenya 184 vifo 7
2.DR Congo 180 vifo 18
3.Rwanda 113
4.Uganda 53
5.Zambia 39 kifo 1
6.Tanzania 25 kifo 1
7.Msumbiji 17
8.Malawi 8
9.Burundi 3.
Maambukizi haya kwa wiki hii yanaonyesha kwamba Kenya inaenda mahali pagumu zaidi.
Msumbiji ambayo kwa muda mrefu ilikuwa na wagonjwa wachache na yenyewe namba zinapanda haraka.
Uganda na Zambia hali siyo mbaya sana.
Hii Kwa mujibu wa Mashirika ya Habari
 
Namba 7 na 8 wakitoa takwimu za kweli hali ni mbaya zaidi.Malawi mgonjwa mmoja amesha fariki, wamesha tangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…