Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kufuatia janga la corona na hivyo miji mingi Duniani kuwaweka watu wake kwenye vizuizi vya nyumbani "Lockdown", dunia imeshuhudia upweke mkubwa kwenye miji iliyokuwa na harakati nyingi za kibinadamu.
Kufuatia upweke huo, wanyama wa porini wamevamia baadhi ya miji hasa ile ambayo imekaribiana na hifadhi kwa ajili ya kutembea na kujitafutia chakula.
 
Aisee...
 
Puma.
Puma ni Simba wa milima ya America.
Mnyama huyu mkali ameonekana akivinjali kwenye mitaa ya jiji la Santiago huko Chile ambako wakazi wa jiji hilo wapo kwenye Lockdown.
Mamlaka za mji huo zimesema kwamba huenda Simba huyo ametoka kwenye milima inayozunguuka jiji hilo
 
Kuna Watu wanacheza na moto, acheni huo upuuzi wa kusema tumechoka kukaa nyumbani panaboa, hela hakuna wala biashara, ukitaja corona umetaja kuishi au kifo sio jambo la kufanyia mchezo, kaburini hakuna biashara, pesa na wala hakuna utakayemwambia panaboa, acheni ujinga”-MUSEVENI
 
Ana muonekano mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…