Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Khaa we mkorea acha ujambaziuji wa muhogo
uji wa sembe
uji wa mtama
uji wa ngano
unakunywa maji yaliochanganywa na muhogo uliosagwa
Sana kaka, niliiangalia ile fainali,moja ya fainali bora sana kuwahi kuzishuhudia..Ile fainali imeacha simulizi nyingi.
Zile ndiyo zama haswa za Gennaro Gattuso Andrea Pirlo, Fillipo Inzaghi,Paolo Maldini nk
sentensi sahihiKhaa we mkorea acha ujambazi
Kaka mkubwa umenenepa sana kipindi hiki.....
Nipo hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]
Picha gani Anne? 😀
Unataka nibadili ID?hilo jina nimelipendekeza kwa commando shimba.....sijui kama atalipenda.
mimi ni msukuma akacheka sana
itapendeza sana...... pengine under 18 watakuheshimuUnataka nibadili ID?