Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Namshukuru Mungu brodah'..! Tunaendelea kupambana si unajua wagumu tunadumu..!?
Mungu atulinde na kutuepusha kiukweli..!!

Mdogo wako bado niko imara, Promish you thach 'I won't let you down sindiyo eeh'.!? And that is what I will do.!!
I Don't have any doubt about it...

Never seen anyone stronger than you.....

Blessings young sis [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
images (54).jpeg
 
Kaskazini mwa India kwenye mji wa Srinagar.
Mji huo ambao kama ilivyo miji mingine nchini humu upo kwenye Lockdown.
Baada ya Lockdown hiyo mji wa Srinagar umevamiwa na wanyama wa porini.
Paa na digidigi wameonekana wakivinjari mitaani baada ya wenyeji wa mji huo kujizuia majumbani wakiogopa kirus anayesababisha maradhi ya corona
 
“Wizara inatoa taarifa juu ya uwepo wa wagonjwa watano wa corona ambao wote ni Watanzania na wakazi wa DSM, aidha Waziri wa Afya Zanzibar ametangaza wagonjwa wapya wawili, hivyo waliothibitika kuwa na corona Tanzania hadi sasa ni 32 ambapo kati ya hao watano wamepona na 24 wanaendelea vizuri na matibabu”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu •
•
“Tunasikitika kutoa taarifa ya vifo viwili vilivyotokea leo miongoni mwa wagonjwa wa corona ambavyo ni Mwanaume(51) Mtanzania mkazi wa DSM na Mwanaume (57) Mtanzania Mkazi wa DSM hivyo kufanya idadi ya vifo vya corona Tanzania kufikia vitatu”-WAZIRI UMMY
#MillardAyoCORONATZ
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mficha maradhi.....
 
Back
Top Bottom