Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200410-102815_Facebook.jpeg
 
Puma.
Puma ni Simba wa milima ya America.
Mnyama huyu mkali ameonekana akivinjali kwenye mitaa ya jiji la Santiago huko Chile ambako wakazi wa jiji hilo wapo kwenye Lockdown.
Mamlaka za mji huo zimesema kwamba huenda Simba huyo ametoka kwenye milima inayozunguuka jiji hilo View attachment 1414912
Puma ni Simba???
 
Kuna Watu wanacheza na moto, acheni huo upuuzi wa kusema tumechoka kukaa nyumbani panaboa, hela hakuna wala biashara, ukitaja corona umetaja kuishi au kifo sio jambo la kufanyia mchezo, kaburini hakuna biashara, pesa na wala hakuna utakayemwambia panaboa, acheni ujinga”-MUSEVENI
Kwani unaogopa kufa? Hujajiandaa?
 
Back
Top Bottom