Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hawa walikuwa kwenye ile list ya watu 24 au hawa wametambulika baada ya kuwa wameshakufa?Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema watu wawili wamekufa jijini Dar leo kwa ugonjwa wa corona #MwananchiDigital
tumeambiwa ndio yanayofuata na tunapaswa tujiandae.....
hizi wiki mbili zijazo zitakuwa ni ngumu sana
pia hatuna utamaduni wa kupima raia mpaka tuwe na wasiwasi naye
Ooh my..Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema watu wawili wamekufa jijini Dar leo kwa ugonjwa wa corona #MwananchiDigital
tuuze ndege bombardia baadae tununue mashine
Dunia nzima inapumua. Picha za satellites zinaonyesha pollution imepungua sana na atmosphere inajisafisha yenyewe. Moshi wa uchafu uliokuwa umetanda katika majiji mengi huko China na kwingineko sasa umetoweka. Pomboo (dolphins) wamerudi kwa wingi katika pwani ya Italia kwa vile hakuna meli zinazoingia wala kutoka. Wanyama wanafanya sherehe...mpaka pale Homo Sapiens atakaporudi tena mtaani....Nchini India jiji la New Delhi lipo kwenye Lockdown.
Katika siku za karibuni ambako watu wamejifungia majumbani wanyama wa mwituni kama Ngedere, nyani na majoka aina ya cobra yamevamia jiji hilo yakivinjari kila kona na vichochoro.
Mbali ya wanyama hao wanyama kama Ng'ombe ambao wenyeji wa huko wamewafanya miungu wao nao wamekuwa kero kwenye jiji hilo.
Ng'ombe wameongezeka maradufu mjini New Delhi
View attachment 1415150
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona mzee uko quarantine[emoji23][emoji23]
Utulivu ndio chanzo cha hayaNchini India jiji la New Delhi lipo kwenye Lockdown.
Katika siku za karibuni ambako watu wamejifungia majumbani wanyama wa mwituni kama Ngedere, nyani na majoka aina ya cobra yamevamia jiji hilo yakivinjari kila kona na vichochoro.
Mbali ya wanyama hao wanyama kama Ng'ombe ambao wenyeji wa huko wamewafanya miungu wao nao wamekuwa kero kwenye jiji hilo.
Ng'ombe wameongezeka maradufu mjini New Delhi
View attachment 1415150
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa walikuwa kwenye ile listHawa walikuwa kwenye ile list ya watu 24 au hawa wametambulika baada ya kuwa wameshakufa?
Hapa ndo patamu
Trump leo kakiri kuwa haitawezekana kuwa na mashine nyingi za kufanyia vipimo kama wanavyotaka; na havihitajiki sana japo watu wanakufa. Na anataka kuondoa quarantine mwishoni mwa April. Afe refa afe kipa uchumi lazima urudi katika hali ya kawaida....
Wahenga wote tutaisha ngoja nitumbue pesa zangu kabisa😁
Mkuu usishupaze shingo, wamesema namba sita ni spesho,iache. Kwani namba 1,2,3,4,5,7,8,9,....hazijadiliki?
1.M.Sch,Seamans,James,Mwameja...
2.Yusuf Bana, Naville,...
3.Carlos,... Tuna namba nyingi sana mkuu achana na hiyo 6 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app