Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukichunguza kwa makini inavyozunguka mwilini pamoja na kazi zake unaweza kubaini ni ya kipekee na kushangaza.
Kufa noma weweee...hakuna cha kujiandaa wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]Kwani unaogopa kufa? Hujajiandaa?
Nipo Mpendwa, vipi hali yako lakini?Nakuona mpendwa
Safi za kujikalatini na vigariNipo Mpendwa, vipi hali yako lakini?
Sana kaka, niliiangalia ile fainali,moja ya fainali bora sana kuwahi kuzishuhudia..