Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mashaka matupu
“Wizara inatoa taarifa juu ya uwepo wa wagonjwa watano wa corona ambao wote ni Watanzania na wakazi wa DSM, aidha Waziri wa Afya Zanzibar ametangaza wagonjwa wapya wawili, hivyo waliothibitika kuwa na corona Tanzania hadi sasa ni 32 ambapo kati ya hao watano wamepona na 24 wanaendelea vizuri na matibabu”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu •
•
“Tunasikitika kutoa taarifa ya vifo viwili vilivyotokea leo miongoni mwa wagonjwa wa corona ambavyo ni Mwanaume(51) Mtanzania mkazi wa DSM na Mwanaume (57) Mtanzania Mkazi wa DSM hivyo kufanya idadi ya vifo vya corona Tanzania kufikia vitatu”-WAZIRI UMMY
#MillardAyoCORONATZ
 
Baadaye wanasayansi walitumia historia kama hizi kuja na majibu ya kisayansi kuwa damu huwa na makundi yake maalum pamoja na chembechembe fulani katika nyuso za seli ambazo kama haziko kundi moja hutokea mpambano wa chembe hai na mtu hupoteza maisha.
 
Back
Top Bottom