Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Davet una kumbuka kwenye ule uzi wa ...DON kuna mtu akasema ni bora msaada wa tiba utoke China maana ni wenzetu?

Mkuu Daemusin, Khantwe, SHIMBA YA BUYENZE, Cole Williams, Carleen na wengine wanao ijua lugha hii kama wapo humu, hii tafsiri ya Kichina kwenda Kiingereza ni ya kweli?
tapatalk_1586525832591.jpeg
tapatalk_1586525828979.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Davet una kumbuka kwenye ule uzi wa ...DON kuna mtu akasema ni bora msaada wa tiba utoke China maana ni wenzetu?

Mkuu Daemusin, Khantwe, SHIMBA YA BUYENZE, Cole Williams, Carleen na wengine wanao ijua lugha hii kama wapo humu, hii tafsiri ya Kichina kwenda Kiingereza ni ya kweli?
View attachment 1415277View attachment 1415278

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Anko....

Hizi comments za Wachina juu ya mtu mweusi zinatia simanzi sana, nimejisikia vibaya
 
Ila malalamiko yao yana ukweli.
Tunaendekeza porojo kuliko kutatua shida zetu kwa vitendo. Hadi tunaombewa kifo ezi ifu hakuna wanacho nufaika kutoka kwetu.
Fuatilia matatizo ya nchi ya Haiti miaka michache iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila malalamiko yao yana ukweli.
Tunaendekeza porojo kuliko kutatua shida zetu kwa vitendo. Hadi tunaombewa kifo ezi ifu hakuna wanacho nufaika kutoka kwetu.
Fuatilia matatizo ya nchi ya Haiti miaka michache iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unafikiri Anko wanadanganya basi? Ndio maana ata kipindi kile Trump katupiga madongo watu wa Africa mimi nilikuwa upande wake kabisa

Sema ni vile tu hao Wachina walivyotuongelea ni kama wadudu fulani hatustahili ata kuwepo hapa ulimwenguni 😁
 
Back
Top Bottom