Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi Kichina sikifahamu. Nilijaribu kujifunza pamoja na Kiarabu vikanishinda. Ni lugha ngumu ajabu !!!

Comments kama hizi wala hazipaswi kutushtua sana. Popote duniani utakapokwenda mtu mweusi hathaminiwi. Cha ajabu hata yeye mwenyewe hajithamini...Ukitembea tembea huko duniani ndiyo utajua.

Niliwahi kudeti binti wa kizungu siriazi kabisa mpaka akanipeleka kwao kunitambulisha. Ilikuwa familia ya Kikristo sana (wachungaji) lakini kumkubali mtu mweusi iliwawia vigumu mno. Kipindi fulani kwenye kibarua kimoja hivi nikapendekezwa kupewa tuzo ya mfanyakazi bora wa mwaka. Kumbe tuzo hii kwa kawaida wazungu pekee ndiyo huwa wanashinda (inaambatana na substantial $$$). Nilishangaa hata jamaa ambao nilidhani kuwa ni marafiki waligeuka vibaya. Waziwazi kabisa huko wanasema "This award has never been won by a black person and we are not going to change that". Ndipo nikajua kuwa kwa mzungu (na wengineo....) mtu mweusi ni mweusi tu....
Andiko la kuumiza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20170707_195351.jpg
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani hawa jamaa sikujua kuwa wanadharau kuliko hata wazungu.
Aliye turoga Waafrika hadi tukawa wavivu wa kung'amua mambo ana dhambi sana.

Kama kweli kauli hii hapa chini ndio chanzo, basi.... View attachment 1415317

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Ndio haya aliyosema bro SYB

Huyu jamaa Jiniazi kweli yani 1835 anakuja na idea konki jinsi ya kuwakamata watu wengi kwenye bara kubwa kama Africa
 
Back
Top Bottom