Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anko naomba picha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Evenchuale [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hizi picha unazokusanya unakwenda kuzifanyia nini? Kama kuna mashindano ulitangaza nikapitwa sema nami nitume ya kwangu. Faili lako la picha za wana JF litakuwa linakaribia GB kadhaa kwa sasa aisee...
 
Naomba na yako
Huwa naziangalia tu pia nawaweka kwenye Sala zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka Anko....

Hizi comments za Wachina juu ya mtu mweusi zinatia simanzi sana, nimejisikia vibaya
Mtu mweusi ataendelea kudharauliwa tu mpaka pale atakapojitambua na kujithamini mwenyewe. Yaani ukiweza kumvunja vunja mtu kisaikolojia (kupitia elimu, dini, historia na utamaduni) aisee unakuwa umemaliza kila kitu. Inasikitisha sana bro !!!
 
Naomba na yako
Huwa naziangalia tu pia nawaweka kwenye Sala zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye sala nakubali. Tena ya kwangu nikikutumia iweke chini ya mto wako kabisa uwe unailalia ili ipate upako non stop.

Wito na kipaji chako ni kuombea watu na kuwapa faraja na Amani ya Bwana Yesu. Utajaribu kufanya vitu vingi lakini hutapata ridhiko la kweli. Sala zako zile zimekuwa nguzo muhimu kwangu ninapotingwa. Una mibaraka na upendeleo wa ajabu sana mpendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani hawa jamaa sikujua kuwa wanadharau kuliko hata wazungu.
Aliye turoga Waafrika hadi tukawa wavivu wa kung'amua mambo ana dhambi sana.

Kama kweli kauli hii hapa chini ndio chanzo, basi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Kichina sikifahamu. Nilijaribu kujifunza pamoja na Kiarabu vikanishinda. Ni lugha ngumu ajabu !!!

Comments kama hizi wala hazipaswi kutushtua sana. Popote duniani utakapokwenda mtu mweusi hathaminiwi. Cha ajabu hata yeye mwenyewe hajithamini...Ukitembea tembea huko duniani ndiyo utajua.

Niliwahi kudeti binti wa kizungu siriazi kabisa mpaka akanipeleka kwao kunitambulisha. Ilikuwa familia ya Kikristo sana (wachungaji) lakini kumkubali mtu mweusi iliwawia vigumu mno. Kipindi fulani kwenye kibarua kimoja hivi nikapendekezwa kupewa tuzo ya mfanyakazi bora wa mwaka. Kumbe tuzo hii kwa kawaida wazungu pekee ndiyo huwa wanashinda (inaambatana na substantial $$$). Nilishangaa hata jamaa ambao nilidhani kuwa ni marafiki waligeuka vibaya. Waziwazi kabisa huko wanasema "This award has never been won by a black person and we are not going to change that". Ndipo nikajua kuwa kwa mzungu (na wengineo....) mtu mweusi ni mweusi tu....
 
Mtu mweusi ataendelea kudharauliwa tu mpaka pale atakapojitambua na kujithamini mwenyewe. Yaani ukiweza kumvunja vunja mtu kisaikolojia (kupitia elimu, dini, historia na utamaduni) aisee unakuwa umemaliza kila kitu. Inasikitisha sana bro !!!
Kujitambua na kujithamini kwa mtu mweusi sijui kutatokea lini? Mbaya zaidi ndio kama usemavyo njia tunayopita sio yetu ni yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…