Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Andiko la kuumiza sana.Mimi Kichina sikifahamu. Nilijaribu kujifunza pamoja na Kiarabu vikanishinda. Ni lugha ngumu ajabu !!!
Comments kama hizi wala hazipaswi kutushtua sana. Popote duniani utakapokwenda mtu mweusi hathaminiwi. Cha ajabu hata yeye mwenyewe hajithamini...Ukitembea tembea huko duniani ndiyo utajua.
Niliwahi kudeti binti wa kizungu siriazi kabisa mpaka akanipeleka kwao kunitambulisha. Ilikuwa familia ya Kikristo sana (wachungaji) lakini kumkubali mtu mweusi iliwawia vigumu mno. Kipindi fulani kwenye kibarua kimoja hivi nikapendekezwa kupewa tuzo ya mfanyakazi bora wa mwaka. Kumbe tuzo hii kwa kawaida wazungu pekee ndiyo huwa wanashinda (inaambatana na substantial $$$). Nilishangaa hata jamaa ambao nilidhani kuwa ni marafiki waligeuka vibaya. Waziwazi kabisa huko wanasema "This award has never been won by a black person and we are not going to change that". Ndipo nikajua kuwa kwa mzungu (na wengineo....) mtu mweusi ni mweusi tu....
Hujui leo ni Ijumaa kuu? Ingia kwenye mitego shauri yako.I'm in love with a church girl
Duuh! Ndio haya aliyosema bro SYB[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani hawa jamaa sikujua kuwa wanadharau kuliko hata wazungu.
Aliye turoga Waafrika hadi tukawa wavivu wa kung'amua mambo ana dhambi sana.
Kama kweli kauli hii hapa chini ndio chanzo, basi.... View attachment 1415317
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi unayo [emoji16][emoji16][emoji16]I'm in love with a church girl
Bro ni Ustaadh. Mambo ya Ijumaa kuu hayamhusu...
Umeniacha njia panda nikaamua zangu kusali online πππ
Hiyo ndio toroka ya wakubwa nawe kwani hujui? πππππUnanifundisha kutoroka??
Kwanini usiseme tu, niombe ruksa ya kwenda ibadani..!?