moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kazi unayo [emoji16][emoji16][emoji16]
Za siku mbili tatu bro? Nyalugusu hapo mnasemaje? Wasukuma wako bado wanakuvunja mbavu na lafudhi yao ngumu wanaongea mpaka mbavu zinawauma?
Mafichoni bar
😂😂😂😂
Achukue hii avatar
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tena sio ya kitoto bro
Salama kabsa bro, tupo salama tunaendelea kutekeleza njia za kujikinga na corona,,
habari za huko bro? Familia iko poa?
Wasuku nipo nao hawa[emoji16][emoji16],wazee wa kuoga dak 5 halafu wanaosha yeboyebo nusu saa
GT....Bro samahani nimedandia treni.
Wala sijui chanzo cha hoja zenu.
Ila mwafrika kama hatafika mahali akajitambua kuhusu utu wake na raslimali zake na uchache wa fikra zake.
Na labda ajikubali na ajiamini kwa uchache wa akili alionao mbele ya wenye akili zao, aheshimu vipaji vya watu wake, ubunifu wa watu wake na kujiepusha na vitu vya watu vinavyokuja kama msaada, zawadi au kuomba.
Vinginevyo mwafrika ni binadamu kama walivyo wengine, lakini kosa lake hataki kuishi kwa mujibu wa kanuni zake, mila na taratibu zake.
Angalau tungeamua kuishi kama wanyama wa mwituni.
Yaani tuishi kama tupo kisiwani.
Kwamba tujikubali, kutambua mapungufu yetu na kutafuta njia zilizo ndani yetu kutatua baadhi ya changamoto zinazotukabili.
Vinginevyo tutabaki kuwa watu wa kubezwa, kukanyagwa, kutemewa mate nk.
Sisi bado tunaona ufahari kuomba na wala hatuoni ufaharii kuchapa kazi.
Hata hivyo lazima ujue kuwa mwafrika ni mimi na wewe, tabia hii iliyojengeka baina yetu ya kuwatupia lawama za mara kwa mara viongozi wetu haitatusaidia.
Asante sana
Hao ndio shemeji na wakwe zangu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] tena sio ya kitoto bro
Salama kabsa bro, tupo salama tunaendelea kutekeleza njia za kujikinga na corona,,
habari za huko bro? Familia iko poa?
Wasuku nipo nao hawa[emoji16][emoji16],wazee wa kuoga dak 5 halafu wanaosha yeboyebo nusu saa
Mtuwache !!!Hao ndio shemeji na wakwe zangu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mtuwache !!!
View attachment 1415463
Nakumbuka sana. Niko napika bado. Kikiiva tu sitakusahau [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shemeji nakukumbusha ahadi ya juzi kuhusiana na vile vitabu. Kama tayari usinisahau nipatemo tumaarifa twa kuchungia ng'ombe kwa wakwe
Sent using Jamii Forums mobile app