Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata wewe shemeji? Tena hao wa kwako sasa ndiyo hatari tupu. Nusu Wasukuma nusu Wanyakyusa. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapa kitaa kuna mshukiwa mmoja wa COVID19 walimpeleka hospital naona usiku huu familia yake imekuja kuchukuliwa sasa sijui imekuaje huko?

#haliyatishasana
Quarantine siku 14 inawahusu wote hapo hasa wale mliochangamana nao. Ukiamua kuhamisha kambi hakikisha huko unakoenda hakuna wazee au watu wenye afya mgogoro (just in case). Sana sana timukia Kusini kwa TH ukakate mwezi mzima huko.

Kwa uandaeitini wako na ushua wako wa Gym waweza upate na usione hata dalili. Shida sasa ni hao vulnerable population (wazee na wenye matatizo ya afya) inayokuzunguka.

Take care of yourself bro...and no milkshakes until things cool down a little bit [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Naogopa sana kufika huko bro.
Umasikini wa taifa hili kisha uanze kujificha ndani.
Makumi ya watu hawa tutawafanya nini?
Itakuwa shida kubwa. Marekani wametoa dola trillioni mbili na kila Mmarekani (wakiwemo watoto wadogo) atapata angalau dola 1200 ili kujikimu angalau kwa chakula. Mabenki pia wamesitisha ishu za kurudisha mikopo angalau kwa miezi mitatu kwa watu waliokwama. Wanachotaka tu uwapigie simu na ueleze shida yako. Hata ma landlords hakuna kufukuza watu kwa sasa.

Kuna NGOs nyingi pia ambazo hupika vyakula na kuvigawa bure kwa watu homeless. Na nyingine hugawa non perishable foods kama cereal na vyakula vya kwenye makopo. Watu masikini huenda huko na kugawiwa vyakula hivi. Masupamaketi hupeleka huko pia vyakula vinavyokaribia kumaliza muda wake. Tangu quarantine ianze na watu wengi kupoteza kazi zao kuna misururu mirefu ya watu katika food banks hizi watu wakitegemea kupatiwa chakula cha bure.

Kwetu tukifikia hatua ya quarantine sijui itakuwaje masikini kwa sababu hatuna mifumo ya kueleweka na watu wengi hasa huko mijini wanategemea kwenda kuhemea kila siku ndiyo wale. Litakuwa janga kubwa sana na hata social unrest. Tuombe sana ndugu zangu hali hii isifike huko.

Quarantine siyo mbaya kama una mahitaji yote ndani. Unajidamka asubuhi unafanya vimazoezi vyako, unakula na unaendelea na mishe zingine huku ukila likes kwa raha zako. Kama huna chakula ndani hiyo ni habari nyingine aisee. Mungu Atuokoe jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hapo unanitafutia kesi sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ukurungez bado upo kwenye damu huyo..
Umeona comment ya anko sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anashika ndala mkononi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooo, kumbe ni kweli kwenye lift huwa wanavua viatu
Nyote hamfai. Yaani mmekutana badala mdisikasi mambo ya maana mmekalia kutusema. Yaani mnaniudhi basi tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Umeona comment ya anko sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anashika ndala mkononi
Sasa kama mtoto hayuko komfotabo unataka afanyeje. Babake angekuwa makini angemuuliza kwa nini hapendi kuzivaa si ajabu angepata sababu nzuri sana. Watoto wana akili sana....

Nyote hoooovyooooo [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
 
Yaani corona inanifanya nighairi safari zangu kwakweli.
Usije ukajaribu kwenda home hata kidogo. We pambana na hali yako huko huko uliko tu japo hali ni ngumu. Hapa wenye roho nyepesi wengine wanaacha kazi na kusema "Korona ikiisha kama bado mnanihitaji nipeni taarifa nitarudi". Tuombe sana shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…